Thursday, December 15, 2011

Wanajeshi wa Marekani warudi nyumbani

Imebadilishwa: 15 Disemba, 2011 - Saa 05:08 GMT
Wanajeshi wa Marekani wa mwisho wanatarajiwa kuondoka kabisa Iraq katika siku chache zijazo.
Balozi wa Marekani amesema msaada wa kiufundi utatolewa ili kuchunguza kwa makini dosari hizo
Raia wa Misri wanapiga kura kwenye awamu ya pili ya uchaguzi wa bunge jipya, huku vyama vya kiislamu vikitarajiwa kupata viti vingi.

No comments:

Post a Comment