Friday, December 23, 2011

BABU LOLIONDO JELA MIAKA 7

BABU LOLIONDO JELA MIAKA 7

Na Makongoro Oging’
Mchungaji Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’ wa Samunge, Loliondo, Arusha, atapanda kizimbani kukabili kesi za madai na jinai, hii ni kwa mujibu wa wakili maarufu, Mabere Nyaucho Marando.
Wakili huyo alisema, endapo mahakama itamkuta na hatia ya kutenda jinai, Babu…

No comments:

Post a Comment