Friday, December 9, 2011

Mataifa ya Ulaya yaafikiana

Tume huru ya uchaguzi katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imeahirisha kwa mara ya pili kutangaza matokeo ya uchaguzi wa urais.
Wapatanishi wameingilia kati kuzuia vurugu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kabla ya kutolewa kwa matokeo kamili ya uchaguzi
Mji mkuu wa Somalia Mogadishu umekumbwa na mapigano makali kutokea katika miezi kadhaa

No comments:

Post a Comment