Habari Kuu
Miaka 50 ya Uhuru:Tusonge mbele Fredy Azzah na Gedius Rwiza WATANZANIA leo wanasherehekea miaka 50 ya Uhuru huku wakisifia mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho na kutaja changamoto kadhaa zinazopaswa kufanyiwa kazi.Sherehe hizo ni kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika u [ ... ] (Comments 18) |
Habari
Spika, Katibu wa Bunge wapingana posho
Leon Bahati SAKATA la nyongeza
ya posho za wabunge sasa limegeuka vita baina ya watendaji wakuu wa
taasisi hiyo ya kutunga sheria; Spika Anne Makinda na Katibu (Comments 20)
+ Full Story
+ Full Story
Biashara
Kampuni za madini zaagizwa kulipwa mrah...
Boniface MeenaSERIKALI
imezitaka kampuni za uchimbaji madini nchini, kuanza kulipa mrahaba mpya
wa asilimia nne kulingana na matakwa ya sheria mpya ya madini (Comments 5)
+ Full Story
+ Full Story
Michezo
Simanzi siku ya Uhuru
Sosthenes NyoniNDOTO ya timu ya
Taifa ya Tanzania 'Kilimanjaro Stars' kutoa zawadi ya Uhuru kwa
Watanzania ilifuta jana baada ya kukubali kipigo cha mabao (Comments 1)
+ Full Story
+ Full Story
Uchambuzi
Uhuru miaka 50 sasa tutafakari tulipoto...
WATANZANIA leo tunaadhimisha
miaka 50 ya Uhuru tukiwa na jambo moja kubwa la kujivunia ambalo ni
umoja wa taifa letu. Ingawa umoja huu umepitia katika mabonde (Comments 3)
+ Full Story
+ Full Story
Makala
Miaka 50 ya makosa ya kisiasa yaliyopas...
Lawrence KilimwikoKATIKA
kipindi cha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika Serikali ya TANU/CCM
ilifanya makosa mengi ya kisiasa kiasi (Comments 0)
+ Full Story
+ Full Story
Mwananchi Jumapili
Chadema:Madai ya katiba yapo palepale
laud MshanaCHADEMA imesema
licha ya Rais Jakaya Kikwete kutia saini Muswada wa Sheria ya
Marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011, itafanya kila linalowezekana (Comments 18)
+ Full Story
+ Full Story
No comments:
Post a Comment