Tume ya Uchaguzi katika
Jamuhuri Ya Kidemokrasia ya Congo imechelewesha kutangaza matokeo rasmi
ya kura za urais hadi Alhamisi kutokana na matatizo ya kiufundi.
Kura za mapema zinaonyesha rais Joseph Kabila akiongoza mbele ya
upinzani.
Rais wa Baraza kuu la
Ulaya Herman Van Rompuy, amependekeza kuwepo sheria kali za kiuchumi kwa
nchi zinazotumia sarafu ya Euro. Ufaransa na Ujerumani zimeridhia
kuwepo na azimio jipya ili kulinda uchumi wa kanda inayotumia sarafu ya
Euro.
No comments:
Post a Comment