Tuesday, December 6, 2011

Kidume chafyeka msosi wa shilingi milioni 81

azi11' (640)

GLOBAL Kidume chafyeka msosi wa shilingi milioni 81

Paul Mason.
PAUL Mason, 50, yupo kwenye mateso makali. Mbali na…
Added by GLOBAL on December 6, 2011 at 8:30am — 13 Comments

GLOBAL Ni kweli soda mbaya kuliko sigara? - 2


Wiki iliyopita tulianza makala haya kwa kuangalia madhara yatokanayo na unywaji wa soda kwa wingi ambapo tuliona kuwa kiwango cha ‘fructose’ kinachowekwa kwenye vinywaji vingi baridi na hasa soda ni kikubwa. Tafiti nyingi zinaonesha kuwa ‘fructose’ nyingi ina madhara mwilini na huwa chanzo cha magonjwa ya moyo, kisukari na ini. Wiki hii tunaendelea na…
Added by GLOBAL on December 6, 2011 at 8:57am — 6 Comments

GLOBAL Baba adaiwa kumuua mwanaye mlemavu


Marehemu Donald Steven.
Na Haruni Sanchawa
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni linamshikilia Steven Mbua kwa madai ya kuhusika na kifo cha mwanaye aliyetajwa kwa jina la Donald Steven (12), Uwazi lina kila…
Added by GLOBAL on December 6, 2011 at 8:30am — 14 Comments

GLOBAL NDOA YA CHOZI



Na Waandishi Wetu
MWANAMITINDO mwenye jina kubwa Bongo, Jacqueline…
Added by GLOBAL on December 6, 2011 at 8:30am — 22 Comments

GLOBAL Mambo matano mazito



Marehemu Kelvin Mapunda enzi za uhai…
Added by GLOBAL on December 6, 2011 at 8:30am — 25 Comments

GLOBAL SKENDO



Mchungaji Christopher Mtikila.
Haruni…

No comments:

Post a Comment