Wednesday, December 14, 2011

CHAKULA NDIYO CHANZO CHA MARADHI YANAYOTUSUMBUA

CHAKULA NDIYO CHANZO CHA MARADHI YANAYOTUSUMBUA


CHAKULA ni dawa, lakini chaweza kuwa sumu pia. Katika makala yetu ya leo tunazungumzia namna ambavyo chakula kimekuwa chanzo cha maradhi mengi sugu yanayotusumbua binadamu hivi sasa.
Vijana wengi wanapoteza uhai wakiwa bado vijana, maradhi kama shinikizo la damu (presha), saratani, kiharusi, kisukari, magonjwa ya miguu na migongo, yamekuwa sawa na ni wimbo wa taifa.…

No comments:

Post a Comment