Wednesday, December 14, 2011

HOFU YATANDA


GLOBAL HOFU YATANDA



Luqman Maloto na Vyanzo Mbalimbali

TANZANIA inatahadharishwa, inaonywa kuhusu mkakati wa Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemasons…
Added by GLOBAL on December 13, 2011 at 9:00am — 20 Comments

GLOBAL Mchangie mtoto huyu apate matibabu

NA MAKONGORO OGING’

Hali ya mtoto Pascal Tano mwenye umri wa miaka mitano bado ni mbaya kiafya  kutokana na kutopata matibabu kufuatia mama yake na familia kukosa shilingi 3,000,000 (milioni tatu)  zinazohitajika katika Hospitali ya Agha Khan ili apate matibabu .



Mtoto Pascali  habari zake zimewahi kutolewa katika gazeti hili kwa lengo la kuomba msaada wa fedha kutoka kwa wasamaria wema ili aweze  kupata matibabu ambapo mpaka sasa zimepatikana jumla ya…

No comments:

Post a Comment