Wednesday, December 7, 2011

Saadi Gaddafi 'ajaribu kupenya Mexico'

Imebadilishwa: 8 Disemba, 2011 - Saa 07:15 GMT
Mexico imesema imezuia njama iliyokuwa ifanywe na wahalifu ya kumpenyeza mmoja wa watoto wa Kanali Muammar Gaddafi
Maelfu ya raia waandamana kulalamikia makundi ya waasi waliosaidia kumuondoa madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
Mahakama nchini Marekani imemhukumu gavana wa zamani wa jimbo la Illinois, Rod Blagojevich kifungo cha miaka kumi na minne jela.

No comments:

Post a Comment