Wednesday, January 4, 2012

Sheria mpya Saudi Arabia YA KUTOKUUZA NGUO ZA NDANI ZA KIKE

Sheria mpya inapiga marufuku wanaume kuuza nguo za ndani za kike. Mashambulio mawili ya mabomu yatokea mjini Maiduguri, huku maandamano yafanyika Kano.

No comments:

Post a Comment