Sunday, January 15, 2012

Njaa haikwisha Somalia

Njaa haikwisha Somalia

 15 Januari, 2012 - Saa 17:19 GMT
Mkuu wa huduma za misaada za Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Mark Bowden, ameiambia BBC kwamba watu zaidi watakufa kwa sababu ya njaa, kabla ya utapia mlo kudhibitiwa.
Njaa ya Somalia
Ingawa hali inatengenea lakini Wasomali 250,000 bado wana njaa, na shida hizo zitaendelea hadi mwezi wa Julai au Agosti.
Bwana Bowden alisema njaa imeuwa maelfu kadha tangu ilipotangazwa miezi sita iliyopita; utapia mlo mkubwa kati ya watoto umeripotiwa Somalia, na nusu ya watoto wanata

No comments:

Post a Comment