Monday, November 28, 2011

ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150

Habari Kuu

article thumbnailPosho za wabunge zapanda kimyakimya
ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150
Fredy Azzah
HUKU mjadala wa kufutwa au kwa posho za wabunge na watumishi wengine wa Serikali ukiwa umefifia, posho za vikao (sitting allowance) za wabunge zimepanda kutoka Sh70,000 kwa sik [ ... ]
(Comments 54)
Habari
JK apokea kabrasha la Chadema
Mwandishi WetuRAIS Jakaya Kikwete jana alikutana na ujumbe wa Chadema na kukabidhiwa kabrasha la mapendekezo ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini na (Comments 27)
+ Full Story
Lowassa: Nitashinda vita hii
Tanzania yaongeza mauzo Kenya
Wakurugenzi watoa tuzo kwa CCBRT, Sos
Wabunge wapiga marufuku ujumbe wa simu
Viongozi Dar es Salaam wahofia Al Shaabab
Bilal ataka Watanzania kuenzi utamaduni wao
Biashara
Wafanyabiashara watakiwa kuisaidia jamii
Boniface MeenaJUMUIYA za wafanyabiashara nchini, zimetakiwa kusaidia jamii kwa kuibua njia mpya za kutatua changamoto zinazoikabili kwa kutoa mbinu za kipekee (Comments 1)
+ Full Story
TIC: Ajira 70,000 kuzalishwa nchini
'Kero za waongoza ndege zitatuliwe'
SLB kuzindua kiwanda cha kisasa Moshi
Banc ABC yapongeza wake wa mabalozi
Sh200 bilioni kukarabati vyuo
Camartec yaokoa ekari 320 za misitu

No comments:

Post a Comment