Wednesday, November 23, 2011

MAAJABU MAKUBWA - DUNIANI

POPCORN: HUPUNGUZA HATARI YA SARATANI NA UGONJWA WA MOYO

BILA shaka unakijua chakula au kitafunwa maarufu kinachojulikana kama ‘Popcorn’ au kwa jina lingine Bisi. Hiki ni chakula lakini aghalabu huliwa kama kiburudisho kwasababu huwezi kula na kushiba.

Kwa upande mwingine, Popcorn inaweza kuonekana kama chakula cha watoto, lakini kinafaa kuliwa na watu wa rika zote na hasa watu wazima, kwani faida zake mwilini zinahusu utoaji kinga dhidi…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:12am — 9 Comments

GLOBAL OKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Na Mwandishi Wetu
MTOTO Pascal Tano mwenye umri wa miaka mitano ambaye gazeti hili liliandika habari yake kuwa anahitaji shilingi milioni tatu ili kuokoa maisha yake, bado anahitaji msaada wa hali na mali.

Mama wa mtoto huyo, Jane Leo ameliambia Uwazi kuwa baada ya habari hiyo kutoka, alichangiwa na Watanzania kiasi cha shilingi 500,000, hivyo bado anahitaji shilingi 2,500,000.
Mtoto Pascal, anakabiliwa na tatizo la matundu kwenye mishipa ya damu tumboni,…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:04am — 1 Comment

GLOBAL Mtoto aeleza alivyoua watu kwa uchawi

UNAAMINI uchawi? Unasadiki kwamba ajali nyingi za barabarani husababishwa na mikakati ya kishirikina kwa ajili ya kafara mbalimbali?

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 ambaye jina lake tunalihifadhi, ametoboa siri nzito. Kwanza amebainisha jinsi wachawi wanavyofanya ili kusababisha ajali mbalimbali, pili amejieleza namna alivyojikuta akihusika na matukio ya kichawi.

Mtoto huyo alitoa ushuhuda mzito kwenye Kanisa la Huduma ya Maombezi, lililopo Mbezi Beach, Dar es…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:03am — 6 Comments

GLOBAL WATANZANIA 23 WAUAWA KAMBI YA AL SHABAAB

UNAWEZA usiamini lakini gazeti hili limepata habari kuwa wapiganaji wa kikundi cha kigaidi cha Al- Shaabab cha Somalia ambao wamekuwa …
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:00am — 12 Comments

GLOBAL Misukule yazua kizaazaa Iringa


Na Francis Godwin, Iringa
JUMATATU ya wiki iliyopita, Iringa iliingia kwenye sekeseke zito, kufuatia tuhuma…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 3:30am — 16 Comments

GLOBAL HATARI


Na Mwandishi Wetu
TAIFA linapita katika kipindi kigumu, mtafaruku wa sakata la Katiba Mpya, ufisadi Wizara ya…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 3:30am — 22 Comments

GLOBAL INATISHA! FREEMASONS WANYWA, WANAWA DAMU YA MUAMMAR GADDAFI LIBYA


Na Luqman Maloto na mitandao mbalimbali
FREEMASONS ni jamii ya siri (secret society) inayotisha duniani, njama zao…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 3:30am — 24 Comments

GLOBAL Binadamu ageuka mti


Hamida Hassan na Mitandao
NI miujiza ya Mungu. Mitihani ipo kila kona kwa aina mbalimbali lakini hatutakiwi kukufuru. Tunapaswa kukubali matokeo na kuomba nusura kwa Muumba,…
Added by GLOBAL on November 15, 2011 at 9:30am — 34 Comments

GLOBAL Yajue maajabu ya ndizi mbivu

NDIZI mbivu ni tunda linalofahamika na kila mtu, lakini sina hakika kama watu wote wanafahamu umuhimu na faida za tunda hili ambalo linapatikana kirahisi sana nchini.

Kama ulikuwa hujui umuhimu na faida za ndizi mbivu mwilini, naomba usome makala haya na baada ya kusoma naamini utakuwa na mtizamo tofauti kuhusu tunda hili.

KINGA DHIDI YA SHINIKIZO LA DAMU NA…
Added by GLOBAL on November 15, 2011 at 9:25am — 6 Comments

GLOBAL Mtoto huyu akifa, sababu ni mil. 3

Mtoto Pascal Tano akiwa na mama yake, Jane Leo, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
HII inauma…
Added by GLOBAL on November 15, 2011 at 9:00am — 9 Comments

GLOBAL Binti abakwa na baba yake kwa miaka 13


Mtuhumiwa ambaye ni baba mzazi wa binti huyo, bwana Muzamil Said.
KUNA watu wanasema dunia…
Added by GLOBAL on November 15, 2011 at 9:00am — 29 Comments

GLOBAL MUME ANASA MIMBA YA AJABU


Said Mohamed Kapita akimwonyesha mwandishi wetu (hayupo pichani) tumbo lake linalodaiwa kuwa na mimba.
Na…
Added by GLOBAL on November 15, 2011 at 8:58am — 20 Comments

GLOBAL Mwanamke asiye na mimba ajifungua barabarani

Na Hamida Hassan
Inafahamika kwamba mwanamke ili ajifungue ni sharti awe na mimba. Hata hivyo, mambo ni kinyume kwa kilichotokea Uingereza hivi karibuni.

Mwanamke, Jane Eadie, 44, mkazi wa Belper, Amber Valley, Derbyshire, Uingereza alijifungua ghafla mtoto wa kiume, dukani alipokwenda kununua mahitaji.

Jane akiwa dukani na wateja wenzake, akingoja kuhudumiwa, alishtuka chupa inapasuka kabla ya mtoto wa kiume kuchomoka na kufuatia kilio cha kichanga…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:42am — 7 Comments

GLOBAL ‘WACHAWI WAMENIPA UGONJWA WA KIHARUSI’

AMA kweli kabla hujafa hujaumbika! Mustafa Ampeni ni kijana wa miaka 36, mkazi wa Kijiji cha Mkoma,  Wilaya  ya Newala, Mtwara.

Ni mtoto  wa tano kati ya sita, alifiwa na wazazi wake akiwa na umri wa miaka mitatu na anatoka katika familia ya kimaskini.

Alisoma kwa shida akamaliza elimu ya msingi Mwaka 1994, alifaulu kwenda sekondari lakini hakuendelea na masomo kutokana na ugumu wa maisha, alijiona mnyonge wakati wenzake aliokuwa anasoma nao wakiendelea na masomo…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:35am — 7 Comments

GLOBAL Sugu: Nitafanya maajabu Novemba 26

Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa ameiteua Novemba 26, 2011 kuwa siku yake maalum ya kufanya maajabu.

Sugu a.k.a Mr. II ameliambia Uwazi kwamba Novemba 26, mwaka huu atakamata ‘mic’ na kupiga bonge la shoo kwenye Viwanja vya Posta, Mikocheni…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:33am — 10 Comments

GLOBAL Tip Top kutikisa Dar Nov. 13

Baadhi ya Wasanii wa Kundi la Muziki wa Kizazi Kipya la Tip Top Connection.
Na Mwandishi Wetu
KUNDI la Tip Top Connection, limejipanga kuitikisa Dar mwishoni mwa wiki hii.
Kiongozi wa Tip Top, Hamad Ally…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:31am — 3 Comments

GLOBAL Afande amfyatulia risasi mrembo

Na Joseph Ngilisho, Arusha
NI akili yake au nguvu ya Shetani? Ni kiburi cha silaha ya moto au ubabe kwa sababu anavaa magwanda? Tukio la askari polisi aliyefahamika kwa jina moja la Sengerema kumfyatulia risasi mrembo aliyemnyima penzi limeacha mshtuko mkubwa.

Sengerema, anadaiwa kumfyatulia…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:25am — 18 Comments

GLOBAL MAAFANDE WALIOIBA MAMILIONI FIRE WAKIONA CHA MOTO

Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha.
Na Makongoro Oging’
VIGOGO wanne wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Zimamoto (Fire) makao makuu, wametiwa mbaroni kwa kashfa ya kuiba mamilioni ya shilingi.

Uchunguzi wa Uwazi umebaini kuwa zaidi ya shilingi milioni 88 zinadaiwa kuibwa Fire.
Fedha hizo ni za mauzo ya…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:20am — 4 Comments

GLOBAL MTOTO AZALIWA NA SEHEMU 4 ZA SIRI


Na Joseph Ngilisho, Arusha
AGANO kwamba nyakati za mwisho, matukio mengi ya ajabu…
Added by GLOBAL on November 8, 2011 at 9:00am — 47 Comments

GLOBAL KAFARA NZITO


Na Luqman Maloto
VIONGOZI wakuu wa Dini ya Shetani, Freemasons, wamefanya kafara nzito kuadhimisha…

No comments:

Post a Comment