Thursday, November 3, 2011

Vurugu Arusha na Mwanza



article thumbnailVurugu Arusha na Mwanza
WAFUASI CHADEMA WAZUIWA KUMWONA LEMA GEREZANI, RISASI, MABOMU VYARINDIMA MWANZA 
Waandishi Wetu
VURUGU kubwa zimetokea jana katika majiji ya Arusha na Mwanza kiasi cha kuwalazimu polisi kutumia mabiomu ya machozi na baadhi ya watu kutiwa nguvuni.Jana [ ... ]
(Comments 22)
Habari
TCRA yasomesha watatu kwa Sh2.2bilioni
Raymond Kaminyoge  KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imegoma kupitisha hesabu za Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), (Comments 7)
+ Full Story
Zitto afanyiwa upasuaji India
Sumaye afanyiwa upasuaji bega Moi
Shibuda achafua hali ya hewa mkutano wa pamba
Pinda: Wakurugenzi 16 kuchukuliwa hatua
Wabunge wataka kiwanda cha urafiki kuchunguzwa
Kesi ya Mbatia dhidi ya Mdee mikononi mwa Waziri Kombani
Biashara
Bei ya sukari sasa maumivu tupu, Nyala...
Aidan Mhando  WAFANYABIASHARA wa sukari Dar es Salaam, wameshangaa Serikali kushindwa kudhibiti bei ya bidhaa hiyo na kusababisha kuendelea kupanda hadi Sh100,000 (Comments 5)
+ Full Story
Wachimbaji wadogo wacharuka
Amref kuchochea mabadiliko ya tabia
Wananchi wavamia shamba la mwekezaji
Wapania kuwakomboa wajasiriamali
Hatimaye ndege ya ATCL yaonekana tena angani
Wapata soko la mbegu Uholanzi
Michezo
Simba, Yanga zafukuzana
Waandishi WetuSARE ya mabao 3-3 waliyopata vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba dhidi ya Moro United katika mechi ya kufunga duru la kwanza msimu huu, imezaa 'faida' (Comments 3)
+ Full Story
Chalenji kuigharimu Cecafa Sh823mil
Korti yapiga 'stop' Ligi Kuu Zanzibar
Serikali yataka TFF iendeleza vijana
'Swita ndiye mtovu wa nidhamu Ligi Kuu'
Barcelona, Milan za kwanza kufuzu Ulaya
Mancini: Tevez omba radhi yaishe
Uchambuzi
Benki zipunguze riba mikopo ya nyumba N...
SIKU mbili tu baada ya benki saba za biashara nchini kutiliana mkataba na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ambapo benki hizo zitatoa mikopo ya miaka 15 kwa wateja (Comments 4)
+ Full Story
Tuikatae misaada yenye masharti ya kipuuzi
Tunaunga mkono hatua ya Kenya kuingia Somalia kuwasaka Al-Shabaab
Wanyamapori wetu wataendelea kusafirishwa nje mpaka lini?
Kutoka London:Sanduku yatima na safari yangu ndani ya Bongo
Bwagamoyo:Hospitali za India zimeshushwa toka mbinguni ?
Mashabiki wakorofi wadhibitiwe leo
Makala
Dar es Salaam: inaweza kuwa kitovu cha ...
Na Joseph ZablonDar es Salaam, jina ambalo linatokana na neno la kiarabu Bandar -ul-Salaam, likimaanisha bandari salama. Jina hili lilianza kati ya mwaka 1862 (Comments 1)
+ Full Story
Kifo cha Mtemi Milambo
Kitemwe: Korosho likiwekewa mkakati litatokomeza umasikini Mtwara na Lindi
MASWALI 50 YA UJASIRIAMALI ENDELEVU – I
Misamaha ya kodi ya VAT kwa vyakula inadidimiza uchumi
Serikali idhibiti magendo ili kuokoa uchumi na mapato ya nchi
Umaskini wetu hutuongezea siku za kwenda kaburini
Mwananchi Jumapili
Moto mkali bado wafukuta CCM
Na Waandishi wetuINGAWA Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM ameamua kubadili mbinu za kusaka amani ndani ya chama chake kwa kuwatumia (Comments 2)
+ Full Story
Mnyama anyongwa Taifa
Adebayor hajutii kuondoka Man City
Mamelodi: Wengi wanaidharau soka ya wanawake
Mwalala amfagilia kocha Julio
TFF yakemea wanaokataa waamuzi
INSHA ZA MAKILLA:Uwekezaji katika kilimo uwe chachu ya maisha bora vijijini
  • Kupiga Kura

  • Jumapili


Ajali ya Meli ZnZ inatufundisha nini?
 
 
 

No comments:

Post a Comment