Tuesday, November 29, 2011

Maajabu ya mwanaume mwenye miguu mirefu duniani

GLOBAL Ni kweli soda mbaya kuliko sigara?



KUNA mjadala mkali unaendelea kuhusu vinywaji baridi hususan soda, baada ya utafiti wa hivi karibuni kuonesha kuwa soda inaweza kuwa na madhara zaidi kiafya kuliko hata sigara!

Hii inaweza kuwa…
Added by GLOBAL on November 29, 2011 at 2:01am — 10 Comments

GLOBAL Maajabu ya mwanaume mwenye miguu mirefu duniani



KIJANA Carl Griffiths, 19, (pichani) ndiye mwanaume mwenye miguu mirefu duniani. Kituko ni kwamba anatumia ukubwa wa miguu yake kunasa wanawake.

Carl, raia wa Uingereza, amesema kuwa mpaka sasa ameshatoka kimapenzi na wanawake 30 ambao walidata kwake kutokana na urefu wa…
Added by GLOBAL on November 29, 2011 at 1:30am — 9 Comments

GLOBAL HIVI NDIVYO WATANZANIA WALIVYOJIUNGA NA AL SHABAAB


WIKI iliyopita tuliandika habari za Watanzania 23 kati ya 25 waliouawa nchini Somalia ambao walijiunga na wapiganaji wa Kikundi cha Kigaidi cha Al-Shabaab na serikali ya nchi hiyo, askari wa Kenya na wale wa Umoja wa Mataifa (UN).

Tuliona mbinu zinazotumiwa na Watanzania kujiunga na kikundi hicho…
Added by GLOBAL on November 29, 2011 at 1:30am — 8 Comments

GLOBAL Misukule Iringa mapya yaibuka

 
Mfanyabiashara, Anetty Ngulu maarufu kwa jina la Mama Mbilinyi akiokolewa na polisi…
Added by GLOBAL on November 29, 2011 at 1:30am — 18 Comments

GLOBAL Utajiri wa Babu Loliondo kufilisiwa



Mojawapo ya magari anayomiliki babu Ambilikile Masapile.
Na Mwandishi Wetu
MCHUNGAJI Mstaafu wa…
Added by GLOBAL on November 29, 2011 at 1:00am — 35 Comments

GLOBAL POPCORN: HUPUNGUZA HATARI YA SARATANI NA UGONJWA WA MOYO

BILA shaka unakijua chakula au kitafunwa maarufu kinachojulikana kama ‘Popcorn’ au kwa jina lingine Bisi. Hiki ni chakula lakini aghalabu huliwa kama kiburudisho kwasababu huwezi kula na kushiba.

Kwa upande mwingine, Popcorn inaweza kuonekana kama chakula cha watoto, lakini kinafaa kuliwa na watu wa rika zote na hasa watu wazima, kwani faida zake mwilini zinahusu utoaji kinga dhidi…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:12am — 9 Comments

GLOBAL OKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Na Mwandishi Wetu
MTOTO Pascal Tano mwenye umri wa miaka mitano ambaye gazeti hili liliandika habari yake kuwa anahitaji shilingi milioni tatu ili kuokoa maisha yake, bado anahitaji msaada wa hali na mali.

Mama wa mtoto huyo, Jane Leo ameliambia Uwazi kuwa baada ya habari hiyo kutoka, alichangiwa na Watanzania kiasi cha shilingi 500,000, hivyo bado anahitaji shilingi 2,500,000.
Mtoto Pascal, anakabiliwa na tatizo la matundu kwenye mishipa ya damu tumboni,…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:04am — 2 Comments

GLOBAL Mtoto aeleza alivyoua watu kwa uchawi

UNAAMINI uchawi? Unasadiki kwamba ajali nyingi za barabarani husababishwa na mikakati ya kishirikina kwa ajili ya kafara mbalimbali?

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 ambaye jina lake tunalihifadhi, ametoboa siri nzito. Kwanza amebainisha jinsi wachawi wanavyofanya ili kusababisha ajali mbalimbali, pili amejieleza namna alivyojikuta akihusika na matukio ya kichawi.

Mtoto huyo alitoa ushuhuda mzito kwenye Kanisa la Huduma ya Maombezi, lililopo Mbezi Beach, Dar es…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:03am — 9 Comments

GLOBAL WATANZANIA 23 WAUAWA KAMBI YA AL SHABAAB

UNAWEZA usiamini lakini gazeti hili limepata habari kuwa wapiganaji wa kikundi cha kigaidi cha Al- Shaabab cha Somalia ambao wamekuwa …
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 4:00am — 14 Comments

GLOBAL Misukule yazua kizaazaa Iringa


Na Francis Godwin, Iringa
JUMATATU ya wiki iliyopita, Iringa iliingia kwenye sekeseke zito, kufuatia tuhuma…
Added by GLOBAL on November 22, 2011 at 3:30am — 20 Comments

GLOBAL HATARI


Na Mwandishi Wetu
TAIFA linapita katika kipindi kigumu, mtafaruku wa sakata la Katiba Mpya, ufisadi Wizara ya…

No comments:

Post a Comment