Tuesday, November 29, 2011

Balozi wa Kenya afukuzwa nchini Sudan


Imebadilishwa: 29 Novemba, 2011 - Saa 13:22 GMT
Balozi wa Kenya amefukuzwa Sudan kufuatia mahakama kuu ya Kenya kuamuru kukamatwa kwa Rais Bashir iwapo ataingia Kenya.
Raia wa Congo kupiga kura kuchagua rais na wabunge huku kukiwa na hofu ya vurugu kutokea.
Raia wengi walijitokeza kupiga kura katika siku ya kwanza ya upigaji kura,
NATO yauwa Wapakistan


No comments:

Post a Comment