BENARD MBWILINGE
Wednesday, November 30, 2011
TI: Vurugu zinatokana na ufisadi
:
1 Disemba, 2011 - Saa 04:59 GMT
Ubalozi wa Iran Uingereza wafungwa
Wafanyikazi wa Ubalozi wa Iran nchini Uingereza wapewa saa 48 kuondoka, baada ya Uingereza kuamura Ubalozi huo kufungwa.
Raia Iran wavamia ubalozi wa Uingereza
Vikwazo vipya kwa Iran
Waangalizi wasifu uchaguzi DRC
Wamesema uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa na "mafanikio".
TI: Vurugu zinatokana na ufisadi
Shirika la Transparency International, lasema ghasia zimetokana na Ufisadi.
Mashtaka ya Gbagbo yadhihiri
Kashfa ya BAE Tanzania yajadiliwa
Balozi wa Kenya afukuzwa Sudan
Uchaguzi wa Misri waingia siku ya pili
Mvutano kuhusu uchafuzi wa hali ya hewa
KINYANG'ANYIRO CHA UCHAGUZI MKUU DRC 2011
Fuatilia kampeni na upigaji kura
Taarifa mbalimbali za wagombea na harakati za uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Michezo
Arsenal na Chelsea nje
Watolewa Kombe la Carling
John Terry ahojiwa na polisi
Kutokana na tuhuma za ubaguzi
Harambee hoi kwa Malawi
Yachapwa 2-0
Mancini alaumu Liverpool
Kutokana na kadi ya Balotelli
Teknolojia
Teknolojia Wiki Hii
Tazama
Habari za teknolojia wiki hii
Kisa na Mkasa
Kisa na Mkasa na Salim Kikeke
Sikiliza
Mikasa na vituko duniani Wiki Hii
MCHEZAJI BORA AFRIKA 2011
Je nani kuibuka mshindi mwaka huu?
Ingia hapa kupiga kura na kumchagua mchezaji unayedhani anafaa kuwa bora wa mwaka wa Afrika 2011. Wachezaji hao ni: Adre Dede Ayew, Samuel Eto'o, Yaya Toure, Gervinho na Seydou Keita
Sikiliza -Tazama
Urutubishaji wa urani Iran
Tazama
Nchi za magharibi zaingiwa na shaka
Maandamano tena Misri
Tazama
Kuushinikiza utawala wa kijeshi kung'atuka
Mwanamfalme Charles
Tazama
Awatembelea Wamaasai, Arusha
Tanzania itafika muafaka?
Sikiliza
Ni katika mchakato wa katiba
Makala
Wanawake wabakaji Zimbabwe mahakamani
Polisi Zimbabwe wanaamini kuna mtindo wa wanawake kuwabaka wanaume nchini humo, ili kutumia mbegu zao za kiume katika mazingaombwe
Sarafu mpya ya Sudan Kusini 'yakimbiwa'
Ni zaidi ya miezi mitatu tangu Sudan Kusini ilipojitenga na Sudan na kupata uhuru wake mwezi Julai mwaka huu
Tsvangirai avunja mwiko na kuoa Novemba
Afunga ndoa na mfanyabiashara. Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai amevunja mwiko kwa kufunga ndoa mwezi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment