Saturday, November 26, 2011

Wanasheria wamtega JK muswada sheria ya katiba

Habari Kuu

article thumbnailCCM: Mbio za urais, makundi vinatutesa
CHASEMA KUJIVUA GAMBA,VITA YA UFISADI VIKO PALEPALE
Neville Meena na Habel Chidawali, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kwa mara ya kwanza kimekiri hadharani kuwa mbio za Urais wa mwaka 2015 ni miongoni mwa mambo yanayokitikisa na sasa kinachukua hatua [ ... ]
(Comments 27)
Habari
Bunge: Muswada wa Katiba unaweza kufutw...
Fredy AzzahOFISI ya Bunge imesema kuna uwezekano wa kubadilishwa au kufutwa kabisa kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, endapo itaonekana (Comments 10)
+ Full Story
Wanasheria wamtega JK muswada sheria ya katiba
Kesi ya Epa yapigwa tena kalenda
Ng'enda: Sikuzaliwa kuwa katibuCCM
Wakuu Afrika Mashariki kukutana Bujumbura
Kamati kuwafuata Wazanzibari waliokimbilia Somalia
'Mashtaka dhidi viongozi Chadema ya kufikirika’
Biashara
Kahama wataka Barrick iongeze mrabaha
Zulfa Mfinanga,KahamaKAMPUNI ya African Barrick Gold Mine inayomiliki migodi miwili  ya dhahabu wilayani Kahama, imelalamikiwa kwa kuchangia  kiasi kidogo (Comments 1)
+ Full Story
Saccos yakopesha Sh319 milioni
Wakulima wa Korosho walalamikia dhuluma
Shirecu kusambaza mbegu za pamba tano 1000
NHC yataka wapangaji kuacha malumbano
UNHCR yaisifu Mwananchi
Benki ya Kiislamu yazinduliwa
Michezo
Kili Stars kuanza kutetea ubingwa leo
Mwandishi wetuWENYEJI wa mashindano ya Kombe la Chalenji, timu ya taifa ya Tanzania 'Kilimanjaro Stars', leo wanafungua rasmi pazia la mashindano hayo kwa (Comments 2)
+ Full Story
Simba, Azam kumaliza ubishi
Zanzibar yaanza na kichapo
Kocha Simba utata mtupu
Wambura aipiga kijembe TFF
Villas-Boas kuwapa raha mashabiki wa Chelsea leo?
Mwaikimba, Boko waachwa Kili Stars
Uchambuzi
Chalenji, nafasi kwa makocha, wachezaj...
MICHUANO ya Kombe la Chalenji imeanza jana kwenye Uwanja wa Taifa, kwa timu nne kuonyeshana kazi. Somalia dhidi ya Burundi na mchezo wa pili ulikuwa kati ya Zanzibar (Comments 0)
+ Full Story
Iliyopitishwa ni rasimu ya kuandaa katiba mpya ya CCM?
Tusipodhibiti malori haya ajali zitatumaliza
TOL tutendeeni haki wanahisa
Utashi utawale mazungumzo ya Chadema, JK
Kuiokoa Shilingi BoT izingatie mapendekezo ya Sabodo
Serikali I itupie macho shule za chekechea za watu binafsi nchini

No comments:

Post a Comment