Monday, November 7, 2011

Wanajeshi wa DRC wakamatwa Tanzania

 7 Novemba, 2011 - Saa 11:04 GMT
Jeshi la Tanzania limewakamata wanajeshi 20 waliokuwa wamejihami vikali kutoka nchi jirani ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Raia wamechangisha fedha kumsaidia msanii mashuhuri wa China Ai Wei Wei kugharamia kodi anayodaiwa na serikali ya nchi hiyo.
Viongozi wa Ugiriki wakubali kuunda serikali mpya ya muungano, huku wakitangaza kuwa waziri mkuu,George Papandreou atajiuzulu.

Michezo

Teknolojia

Kisa na Mkasa

No comments:

Post a Comment