Wednesday, November 2, 2011

WANAHARAKATI, VIONGOZI WA DINI:Wahofu Rais ajaye atakuwa dikteta


WANAHARAKATI, VIONGOZI WA DINI:Wahofu Rais ajaye atakuwa dikteta
WAUNGANA KUMDHIBITI
Leon Bahati
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini na wanaharakati wameonya kuwa kuna kila dalili kwamba mtu atakayemrithi Rais Jakaya Kikwete atakuwa na hulka za kidikteta, hivyo wakataka Watanzania kuandaa mbinu za kumdh [ ... ]
(Comments 35)
Habari
Lema awaita wafuasi wa Chadema gerezani
Peter Saramba na Mussa Juma, ArushaMBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ambaye yuko mahabusu, amewataka wafuasi wa chama hicho kumtembelea gerezani (Comments 35)
+ Full Story
UVCCM bado hakujatulia
Serikali yadaiwa Sh425 bilioni za barabara
Kamati ya Bunge ‘yaipa dole’ NHC kubana wasiolipa pango
Zitto ashauri Serikali ijipange kutibu viongozi nchini
Atuhumiwa kulawiti watoto watatu
Sumatra yasitisha mabasi 14 Dar- Arusha
Biashara
Hatimaye ndege ya ATCL yaonekana tena a...
Mwandishi wetuHATIMAYE ndege ya kwanza ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imeanza kurusha kuruka kwenye anga ya Tanzania baada ya kusimamisha shughuli (Comments 11)
+ Full Story
Wapata soko la mbegu Uholanzi
Serikali kuwabana wanunuzi wa korosho
Huduma za usafiri kuboreshwa Zenji
Mali za wafanyabiashara 1500 Machinga Complex kunadiwa
Watanzania watakiwa kuupigia kura Mlima Kilimanjaro
Mwanga wapewa Sh300 milioni
Michezo
Kufungwa pazia la Ligi:Yanga yaiombea S...
Vicky KimaroBAADA ya miezi mwili ya patashika ya Ligi Kuu ya Soka nchini, Duru la Kwanza la ligi hiyo linafikia tamati wiki hii, huku mabingwa watetezi Yanga, (Comments 0)
+ Full Story
Tenga apigilia msumari Kamati ya Ligi
Salha apeta Miss World
Mjerumani aiponda soka Tanzania
Basena atimkia Uganda
Man United yapania kufuta manyanyaso Old Tafford
Hispania wajazana tuzo za FIFA
Uchambuzi
Tuikatae misaada yenye masharti ya kipu...
KATIKA kudhihirisha kwamba uhuru wa nchi zinazoendelea bado unatishiwa na ukoloni mamboleo, Uingereza imetoa onyo  kwa nchi inazozipatia misaada, ikiwamo Tanzania (Comments 1)
+ Full Story
Tunaunga mkono hatua ya Kenya kuingia Somalia kuwasaka Al-Shabaab
Wanyamapori wetu wataendelea kusafirishwa nje mpaka lini?
Kutoka London:Sanduku yatima na safari yangu ndani ya Bongo
Bwagamoyo:Hospitali za India zimeshushwa toka mbinguni ?
Mashabiki wakorofi wadhibitiwe leo
Waziri Nahodha amenena, Takukuru kazi kwenu
Makala
‘Mkataba wa Muungano umevunjwa’
Elias MsuyaRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano (Comments 1)
+ Full Story
SUK, safari bado ni ndefu
Profesa Mbilinyi: Ubepari umeua mikakati ya mataifa machanga kuendelea
Je, mauaji ya NATO nchini Libya yatachunguzwa?
Chadema, CCM zitavuna nini 2015?
Waraka kutoka Ughaibuni:Misri na Machipuko ya Uarabuni
CCM isiogope kuwasimamisha viongozi wakuu wanaotuhumiwa
Mwananchi Jumapili
Moto mkali bado wafukuta CCM
Na Waandishi wetuINGAWA Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM ameamua kubadili mbinu za kusaka amani ndani ya chama chake kwa kuwatumia (Comments 2)
+ Full Story
Mnyama anyongwa Taifa
Adebayor hajutii kuondoka Man City
Mamelodi: Wengi wanaidharau soka ya wanawake
Mwalala amfagilia kocha Julio
TFF yakemea wanaokataa waamuzi
INSHA ZA MAKILLA:Uwekezaji katika kilimo uwe chachu ya maisha bora vijijini

No comments:

Post a Comment