Tuesday, November 22, 2011

Waandamanaji Misri waombwa kuungana

Habari muhimu

Wanaharakati nchini Misri watoa wito kwa raia kuungana katika maandamano, huku baraza la mawaziri la kiraia, likiomba kujiuzulu.
Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada wa sheria ya kulinda taarifa za siri za serikali
Kiongozi wa mashtaka wa mahakama ya ICC na naibu wake wamewasili nchini Libya

UCHAGUZI MKUU DRC 2011

Michezo

Teknolojia

Kisa na Mkasa

MCHEZAJI BORA AFRIKA 2011

  • Ingia hapa kupiga kura na kumchagua mchezaji unayedhani anafaa kuwa bora wa mwaka wa Afrika 2011. Wachezaji hao ni: Adre Dede Ayew, Samuel Eto'o, Yaya Toure, Gervinho na Seydou Keita

No comments:

Post a Comment