Wednesday, November 9, 2011

Dk Slaa, Lissu mbaroni

Habari Kuu
 

article thumbnailDk Slaa, Lissu mbaroni
WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KOSA LA KUFANYA MKUSANYIKA USIO HALALI, MBOWE ASAKWA
Waandishi Wetu, Arusha
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu pamoja na wanachama wengine 25 wa chama hicho wamekamatwa na kupand [ ... ]
(Comments 97)
Habari
Ripoti ya Jairo yatua mikononi mwa Spika
Neville Meena, DodomaSPIKA wa Bunge, Anne Makinda jana alipokea ripoti ya Kamati  Teule ya Bunge iliyokuwa ikichunguza utaratibu uliotumiwa na Katibu wa (Comments 8)
+ Full Story
Kombani, Mwanasheria Mkuu kitanzini
Upelelezi kesi ya kutorosha Twiga wasuasua
Balozi ajuta askari DRC kuvamia Tanzania
Magari manane yenye sukari yakamatwa Kilimanjaro
Mtungi wa gesi waua mmoja
Kimaro atangaza kumng'oa uenyekiti Mama Nsilo Swai
Biashara
Mwananchi latunukiwa tuzo bodaboda
Joseph ZablonKAMPUNI ya Mwananchi Communications (MCL), imetunukiwa cheti kutokana na mchango wake kwa jamii hususan uelimishaji wananchi kuhusiana na sheria (Comments 0)
+ Full Story
Pinda haiamini Bodi Mikopo Elimu ya Juu
Sumatra yasajili mabasi nane Tabata Chang’ombe
Wauza madini kukutana Arusha
Wananchi kulipwa fidia mradi umeme
Tandahimba wamuomba Profesa Maghembe
Wafanyabiashara Arusha watakiwa kulipa ushuru
Michezo
Yanga: Nini Sunzu, tunaye Asamoah
Jessca NangaweKLABU ya Yanga imesema dau la dola 400,000 wanalotaka kulipwa wapinzani wao wakubwa Simba ya Jijini Dar es Salaam ili kumtoa mshambuliaji (Comments 8)
+ Full Story
Stars wapewa mil 10, safari leo
Wadau watumia facebook kuipasha TFF
Musonye awapa neno wachezaji Stars
Frank Roman aongoza
Daktari wa MJ atiwa hatiani
Frazier afariki dunia
Uchambuzi
Nani anawalinda wanaofanya magendo ya s...
MOJA ya maswali yanayoendelea kuwaumiza vichwa wananchi wengi hapa nchini hivi sasa ni kwa nini biashara haramu ya magendo ya sukari na mahindi inaendelea kushika (Comments 2)
+ Full Story
Stars tuondoleeni kiu hii ya ushindi
Tenga kusema soka imeshuka haitoshi, kutana na watu wako
Umoja wa wasanii wenye mapengo ni sumu
Bodi, menejimenti TCRA watimuliwe kwa ufisadi
Benki zipunguze riba mikopo ya nyumba NHC
Tuikatae misaada yenye masharti ya kipuuzi
Mwananchi Jumapili
Watanzania wanatamani kuwa Wamarekani
Na Assumpta NalitolelaKUIGA kutoka kwa mtu aliyefanikiwa ni jambo jema, tena linakubalika pale ambapo mbinu safi zilizomfanya mhusika afanikiwe, ndizo zinazoigwa. (Comments 2)
+ Full Story
Kikwete ngoma nzito
Mbowe atikisa gereza la Lema
Nishati, Katiba kutikisa Bunge
Kashfa nzito yaikumba Uhamiaji Kilimanjaro
Magufuli: Hakuna aliyewahi kufungwa akitekeleza sheria
Cuf wataka serikali ya umoja wa kitaifa bara

No comments:

Post a Comment