Wednesday, November 23, 2011

Serikali mpya ya Libya yatangazwa

 23 Novemba, 2011 - Saa 04:49 GMT
Mkuu wa utawala wa kijeshi alisema katika Televisheni ya taifa kuwa uchaguzi wa Urais utafanyika mwezi Julai mwaka 2012
Serikali hiyo mpya itakuwa na jukumu la kuandika katiba mpya ya Libya na kuandaa uchaguzi wa kidemokrasia.
Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada wa sheria ya kulinda taarifa za siri za serikali

KINYANG'ANYIRO CHA UCHAGUZI MKUU DRC 2011

Michezo

Teknolojia

Kisa na Mkasa

No comments:

Post a Comment