Wednesday, November 23, 2011

Rais Kikwete akubali kukutana na Chadema

Habari Kuu
 

article thumbnailRais Kikwete akubali kukutana na Chadema
AAGIZA WAPANGIWE SIKU YA KUKUTANA IKULU,CCM NGOMA NZITO
Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa Chadema kusikiliza madai yao juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, uliopitishwa bung [ ... ]
(Comments 45)
Habari
Mattaka kizimbani kwa matumizi mabaya A...
Nora DamianALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka jana alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu (Comments 20)
+ Full Story
Bunge laanza uchunguzi tuhuma za ufisadi maliasili
Jukwaa la Katiba lapanga maandamano nchi nzima
Wanaharakati waupinga muswada wa Katiba
Hakimu akataa ombi la kuwakamata Mbowe, Lissu
Tibaijuka aanzia Sinza kutishia ‘nyau’
Nahodha alia na wananchi kuvunja sheria
Biashara
Wadau wa mafuta waitilia shaka Ewura
Leon BahatiWADAU wa sekta ya nishati nchini wameonyesha wasiwasi wao kuhusu mpango wa serikali kupunguza makali ya ugumu wa maisha Desemba mwaka huu, kwa kutumia (Comments 4)
+ Full Story
Tani 12 za sukari zanaswa zikipelekwa Kenya
Benki ya CWT kuanza na mtaji wa Sh20 bilioni
‘Mshirikiane na Serikali kuleta ufanisi’
Jamii yatakiwa kuwapa ajira walemavu
Mji wa Rujewa waomba fedha za maendeleo
DTB waingia Mbeya
Michezo
Simba wamtumia Basena tiketi
Calvin KiwiaUONGOZI wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, umemtumia tiketi ya ndege ya kurudi nchini Kocha wao, Moses Basena ikiwa ni kilelezo tosha (Comments 2)
+ Full Story
Namibia yaponda michuano ya Cecafa
Arsenal, Chelsea, Barca dimbani
Ndolanga awapa neno K'njaro Stars
Nusu fainali U-20 Karume leo
Ronaldo:Sitishwi na kelele za 'Messi'
Eto'o, Enoh kujieleza Fecafoot
Mwananchi Jumapili
Chadema kumjadili Kikwete
Na Waandishi WetuSIKU mbili baada ya Bunge kupitisha Muswada wa Mabadiliko ya Katiba, Kamati Kuu ya Chadema inafanya kikao cha dharura leo kujadili mchakato (Comments 20)
+ Full Story
Vigogo UVCCM wahojiwa Kamati ya Maadili
Ajali ya basi yaua 15
Wabunge wachuana mjadala ufisadi sekta ya gesi
Mzee Nterege: Miaka 103 ana watoto 57, wajukuu 200, vitukuu 70
Kingunge ashindwa kumshukuru Kikwete
Jela miaka 15 kwa kumuua mkewe

No comments:

Post a Comment