Monday, April 2, 2012

HABARI MBALIMBALI

  HABARI MBALIMBALI

 

TENGA AKATAA KUJIUZULU KWA MOHAMED

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 19 minutes ago
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leodegar Tenga amekataa barua ya kuomba kujiuzulu ya Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi ya TFF, Said Mohamed. Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa klabu ya Azam alimuandikia Rais Tenga barua ya kujiuzulu wadhifa huo akipinga kauli ya Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Alfred Tibaigana juu ya adhabu zilizotolewa na Kamati ya Ligi kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga. Rais Tenga amesema alimteua Mohamed katika Kamati hiyo kwa kuzingatia uadilifu wake na uwezo wake katika kuongoza, hivyo amekataa barua hiyo ya kuomba kujiuzulu. Kwa m... more »

Haruna vs Haruna.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 19 minutes ago
Klabu za Simba na Yanga zimekuwa na upinzani ambao unaonekana kuwa tofauti na upinzani wowote ule wa timu za soka hapa Duniani. Tofauti hii inatokana na ukweli kwamba kati ya vilabu hivi hakuna anayekubali kuna klabu yenye kitu kizuri kushinda mwenzake . Mfano Yanga wakiwa na Kocha mzungu, Simba nao watapambana kufa na kupona ili na wao walete kocha mzungu. Ilifikia hatua mpaka Mojawapo kati ya hizi timu ilituma zawadi ya jezi yake kwa waandaji na watangazaji wa kipindi cha Soccer Africa kinachorushwa na televisheni ya Supersports , wenzao walipojua kuwa watani wametuma jezi hawak... more »

MUDA MCHACHE BAADA YA SIMBA KUTUA JIJINI CAIRO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 hour ago
kikosi cha SIMBA baada ya kuwasili kwenye jiji la Cairo Asubuhi ya Leo. leo kikosi kizima ndani suti. PATRICK MAFISANGO amesafiri na timu. Kikosi cha Simba tayari kimeshawasili kwenye jiji la Cairo nchini Misri ambapo kitakaa mpaka kesho kabla ya kuelekea nchini Algeria.

KENY DALGLISH NAE KUTIMULIWA - LIVERPOOL NA MFULULIZO MBAYA WA MATOKEO NDANI YA KIPINDI CHA MIAKA 58 - YAFUNGWA MECHI 6 KATI YA 7 ZA EPL.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 hour ago
* * *Kenny Dalglish alionekana akiwa mwingi wa mawazo na mnyonge huku timu yake ya Liverpool wakiweka rekodi ya kuwa na mfululizo wa matokeo mabovu katika kipindi cha miaka 58.* [image: Game over: Carroll was substituted in the second half, much to the delight of the Newcastle fans] *Andy Carroll akipita mbele ya washabiki wa timu yake ya zamani.* *Liverpool wamepata pointi nane kutoka katika michezo 12. Ni Wolves pekee ambao ndio wamekuwa na matokeo mabaya kiasi hicho tangu mwaka huu ulipoanza. Ndio maana haishangazi kuona washabiki wa Newcastle ambao jana timu yao iliwafunga L... more »

MTAZAME ROY KEANE MPYA KUTOKA UHOLANZI ANAYETAKIWA NA MAN UNITED

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 2 hours ago
*Manchester United wana mpango wa kuipa nguvu safu yao ya kiungo kwa kutoa £15 kwa ajiuli ya kumsaini PSV Eindhoven Kevin Strootman.* * * *Mholanzi huyo amekuwa akiitwa Roy Keane mpya, tayari ameshajitengenezea nafasi kama mchezaji muhimu kwa timu ya taifa na klabu yake.* * * *Strootman amekuwa ndio nahodha wa PSV na pia amekuwa kwa muda mrefu sasa akimuweka nje ya timu ya taifa Nigel De Jong wa Manchester City.* * * *United wapo tayari kumsajili kinda huyo mwenye miaka 22, baada ya kuwa wameshamtazama katika mechi rasmi 12.* * * *Sir Alex Ferguson amekuwa na bahati kubwa anapowasaj... more »

ANAYEMNYIMA USINGIZI JERMAIN DEFOE - MWANAMUZIKI ALEXANDRA BURKE

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 2 hours ago
[image: Missing you, babe: Alexandra Burke wears a Tottenham Hotspur shirt with boyfriend Jermaine Defoe's name and number on holiday in the Caribbean last week] [image: Missing you, babe: Alexandra Burke wears a Tottenham Hotspur shirt with boyfriend Jermaine Defoe's name and number on holiday in the Caribbean last week] Missing you, babe: Alexandra Burke akiwa amevaaa jezi yaTottenham Hotspur yenye jina la boyfriend wake Jermaine Defoe on holiday katika visiwa vya Caribbean last week. [image: Thinking of you: Alexandra looked like she was taking a moment with her thoughts a... more »

Waasi wa Taureg wapata ushindi Mali

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Waasi wa Taureg wanataka kutangaza eneo lao uhuru kaskazini mwa nchi hiyo

Mapigano makali yatokea Somaliland

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Wanajeshi wa Somaliland na Khatuma wazozana

Newcastle yaisasambua Liverpool 2-0

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Mlinda mlango wa Liverpool Pepe Reina atolewa nje kwa kuoneshwa kadi nyekundu

Marafiki wa Syria wakutana

BBCSwahili.com | Mwanzo - 20 hours ago
Nchi 70 zinazotaka mabadiliko nchini Syria zakutana Istanbul

Guruneti larushwa Mombasa

BBCSwahili.com | Mwanzo - 21 hours ago
Mashambulio mawili yatokea mwambao wa Kenya

Mancini asema Man United itateleza pia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Manchester City bao inaweka hai matumaini ya kunyakua ubingwa wa England

WACHEZAJI WENYE WASHABIKI WENGI KWENYE MTANDAO WA TWITTER

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 22 hours ago
1 Kaka [image: 141371174_display_image] David Ramos/Getty Images *NAME:* Kaka *SPORTS RANKING: *1 *WORLDWIDE RANKING: *18 *TWITTER ADDRESS:* @KAKA *FOLLOW AT URL LINK:* http://twitter.com/KAKA *SPORT-TEAM-LEAGUE:* Soccer-Real Madrid-La Liga *FOLLOWERS:* 9,282,765 *FOLLOWING:* 376 *TWEETS:* 2,302 2 Cristiano Ronaldo [image: 141674730_display_image] David Ramos/Getty Images *NAME:* Cristiano Ronaldo *SPORTS RANKING: *2 *WORLDWIDE RANKING: *22 *TWITTER ADDRESS:* @Cristiano *FOLLOW AT URL LINK: **http://twitter.com/Cristiano * *SPORT-TEAM-LEAGUE: *Soccer-Real Madrid-La Liga *FOLLOWE... more »

GARETH BALE: HARRY REDKNAPP NENDA KAIFUNDISHE ENGLAND

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 22 hours ago
*Gareth Bale leo amemwambia Boss wake Harry Redknapp: "Huwezi kuiacha hii kazi ya kuifundisha England." Katika mahojiano yake na kituo kimoja cha habari, Winga huyo wa Spurs alisisitiza Redknapp itabidi aache kuifundisha Tottenham ikiwa FA itamuhitaji achukue majukumu ya timu ya taifa. Bale alisema: "Wote tunataka abaki. Lakini Harry ni maneja mkubwa na kama England watamhitaji basi hiyo ni nafasi ya kipekee katika maisha ambayo hawezi kuikataa. "Sitomlaumu akiamua kuondoka. Huwezi kujua kama hiyo nafasi itakuja tena miguuni mwako. "Mwisho wa siku yatakuwa ni maamuzi yake na yeye... more »

Timbuktu yazingirwa

Wapiganaji wa kabila la Tuareg, kaskazini mwa Mali wameuzingira mji wa kale

NADIR HAROUB ALISTAHILI LEO KUCHEZA AU LA ?

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
Kanuni YA 25 ya udhibiti wa wachezaji : Tff itadhibiti mienendo ya wachezaji kwa kuchukua hatua kama ifuatavyo. A) MCHEZAJI ATAKAYETOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUPATA KADI MBILI ZA NJANO, HATARUHUSIWA KUCHEZA MCHEZO MMOJA B) MCHEZAJI ATAKAYEPEWA KADI NYEKUNDU ( STRAIGHT RED CARD ) ATAKOSA MICHEZO MIWILI. C) MCHEZAJI ATAKAYETOLEWA NJE KWA KADI NYEKUNDU KWA KOSA LA KUPIGA AU KUPIGANA ATASIMAMA KUSHIRIKI MICHEZO MITATU INAYOFUATA YA KLABU YAKE NA ATALIPA FAINI YA TSH 500,000 D) WACHEZAJI 5 WAKIPATA KADI KTK MCHEZO MMOJA KLABU ITALIPA FAINI YA TSH 500,000 E) MCHEZAJI AKIP... more »

BREAKING NEWS! PATRICK MAFISANGO IS BACK IN THE BUSINESS !

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
KIUNGO WA KIMATAIFA WA RWANDA MWENYE ASILI YA CONGO DRC MUTESA PATRICK MAFISANGO AMERUDISHWA KUNDINI KWA AJILI YA SAFARI YA ALGERIA, KIUNGO HUYO ALIYEKUA AMESIMAMISHWA NA KLABU YAKE YA SIMBA AMERUDUSHWA KIKOSINI BAADA YA KUTAMBUA KOSA LAKE NA KUOMBA RADHI KWA MWALIMU,WACHEZAJI NA VIONGOZI.

No comments:

Post a Comment