Wednesday, April 4, 2012

HABARI MBALIMBALI

Matayrisho ya Olimpiki mbioni

BBCSwahili.com | Mwanzo - 10 minutes ago
Kila kitu tayari kwa ufunguzi rasmi

Barca yatinga nusu fainali.

BBCSwahili.com | Mwanzo - 41 minutes ago
Lionel Messi alifunga penalti mbili katika kipindi cha kwanza na kusaidia timu yake kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya AC Milan

"Chelsea bado jogoo" - Di Matteo

BBCSwahili.com | Mwanzo - 41 minutes ago
Kaimu kocha wa Chelsea, Roberto Di Matteo anaamini klabu hiyo bado ina sifa katika nyanja ya kimataifa

REAL MADRID VS APOEL: MOURINHO HAJAWAHI KUFUNGWA ROBO FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
*MOURINHO IN UCL QUARTERFINALS* *Season* *Team* *Opponent* *Scores* 2003/04 Porto O. Lyonnais Porto 2-0 O. Lyonnais; O. Lyonnais 2-2 Porto 2004/05 Chelsea Bayern Munchen Chelsea 4-2 Bayern Munchen; Bayern Munchen 3-2 Chelsea 2006/07 Chelsea Valencia Chelsea 1-1 Valencia; Valencia 1-2 Chelsea 2009/10 Inter Milan CSKA Moscow Inter Milan 1-0 CSKA; CSKA 0-1 Inter Milan *2010/11* *Real Madrid* *Tottenham* *Real Madrid 4-0 Tottenham; Tottenham 0-1 Real Madrid*

GARETH BALE - NILIKATAA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED NIKAENDA SPURS

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
*Gareth Bale amefichua siri kwamba alikataa kujiunga na Manchester United kabla ya kuchagua kwenda Spurs. Winga huyo wa kimataifa wa Wales alipewa ofa ya kuhamia Old Trafford na Boss United Sir Alex Ferguson alipokuwa na miaka 17 akiichezea Southampton. Lakini kinda hilo alichagua kwenda Tottenham baada ya kuhakikishiwa nafasi katika kikosi cha kwanza, hivyo akaamua kumtosa Fergie. Bale, 22, alisema: "Man United walikuwa wakinitaka lakini mimi nilikuwa nataka nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza. Hivyo niliona mahala pa ukweli ambapo ningepata nafasi hiyo ni Spurs. "Kocha w... more »

MECHI ZOTE AMBAZO MESSI AMEFUNGA KATIKA CHAMPIONS LEAGUE - BARCELONA HAIJAFUNGWA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
*Leo Messi alifunga goli lake la 51 katika ligi ya mabingwa wa ulaya jana jumanne. Mpaka sasa amefunga magoli 14 katika msimu huu wa ligi ya mabingwa. Muargentina huyo sasa yupo nyuma ya goli moja tu kuweza kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika msimu mmoja wa Champions league. Messi sasa anashika nafasi ya tatu katika listi ya wafungaji bora wa muda wote wa champions league, akiwa mbele ya Thierry Henry, na nyuma ya Raul aliyefunga magoli 71 na Van Nisterlrooy aliyefunga 56. MESSI AKIFUNGA BARCA HAWAFUNGWI Messi amefunga katika mechi 32 katika champions league, kati ya mechi... more »

PHOTOS: SIMBA ILIPOWASILI MJINI SETIF - ALGERIA - YAFIKIA HOTEL YA ZINEDINE ZIDANE

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
*Kocha wa Simba Milovan akiwa na daktari wa simba.* *Hotel waliyofikia Simba hapa Setif inayoitwa jina la mwanasoka bora wa dunia wa zamani Zinedine Zidane ambaye ana asili ya Algeria* *Victor Costa Jumba akiwa na mmoja ya viongozi wa msafara huo* *Bwana Salum Machaku akiwa anashangaa shngaa watoto wa kiarabu.* *Emmanuel Okwi na Uhuru Suleiman* *Ally Mustapha Barthez akiwa na Amiri Maftaa na Felix Sunzu leo walipowasili mjini Setif -Algeria*

SIMBA WASTUKIA HUJUMA YA ES SETIF - WAYAKATAA MAJI WALIYOPEWA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
*Aden Rage akikagua maji hayo kabla ya kuyakataa. Maji hayo yaliletwa na viongozi wa klabu ya ES Set*if. *Rage akisisitiza kutoyataka maji yaliyoletwa na ES Setif kwa kuhofia hujuma dhidi ya waarabu hao.* *Mtanzania ambaye ni daktari Elihuruma alikuwepo kutoa sapoti kwa Simba huko nchini ya Algeria.* *Viongozi wa klabu ya ES Setif wakijadiliana baada ya viongozi wa Simba kugoma kuchukua maji yao waliyoleta.*

Shambulio la kujitoa mhanga Afghanistan

BBCSwahili.com | Mwanzo - 7 hours ago
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga amejilipua na kusababisha vifo vya takriban watu kumi mjini Maymana, mji mkuu wa jimbo la Faryab

MSHINDI MPYA WA PROMOSHENI YA Tick Tock APATIKANA!

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 8 hours ago
Mkuu wa Kibiashara Zanzibar Mohammed Mussa akimkabidhi Mshindi wa Milioni 1 wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Suleiman Vuia zawadi yake. Tick Tock ni promosheni mpya kutoka Zantel ambapo mteja akiongeza salio la TSH 1000 na kuendelea anaweza kujishindia milioni 1 pamoja na simu za Nokia zinazotolewa kila saa.

MAMA TUNU PINDA APOKEA MICHANGO YA TWIGA STARS.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 8 hours ago
*MKE WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda leo amepokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali jijini Dar es Salaam ikiwa ni mwitikio wa ombi lake kwa Watanzania kuwaomba waichangie timu ya Taifa ya Netiboli (Taifa Queens) ili iweze kushiriki Mashindano ya Kombe la Afrika mwezi ujao.* * * *Mama Tunu Pinda amepokea simu ya mtandao wa Zantel namba 0779-000-808 ambayo imeunganishwa na huduma ya EZY-PESA. Simu hiyo ambayo imekabidhiwa kwa uongozi wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) inawawezesha Watanzania kutuma pesa kwenye namba hii kutoka mitandao yote ya simu. * *Meneja Mawasiliano w... more »

MKANGANYIKO KATIKA LIGI KUU YA MKOA WA TANGA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 8 hours ago
*Jumla ya timu 14 ambazo zinatakiwa kushiriki ligi ya mkoa ambayo ilipangwa katika makundi matatu Timu zilizogawanywa katika makundi matatu na kundi lililokuwa na matatizo lilikuwa na timu ya Small Prison, African Sports , Segera FC , Air Shooting na Lushoto Shooting. Timu ya Segera FC ndio ilionekana ni dhaifu katika kundi hilo ambapo mchezo wake wa kwanza ilifungwa mabao 2 kwa 1, mchezo wa pili walicheza dhidi ya Air Shooting wakafungwa mabao 4 kwa 1 na katika mchezo wa tatu dhidi ya Small Prisons ikafungwa mabao 5 kwa 1. Mchezo uliokuja kuleta kasheshe ni baina ya African Sports ... more »

Maafisa wa michezo wauawa Somalia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 8 hours ago
Wajumbe wa Kamati ya Olimpiki ya Somalia na viongozi wa chama cha kandanda cha Somalia ni miongoni mwa watu saba waliouwawa

Maelf waandamana Mauritania

BBCSwahili.com | Mwanzo - 9 hours ago
Wafanya maandamano katika mji mkuu Nouakchott,wakimtaka Rais Mohamed Ould Abdelaziz kuondoka madarakani.

Rais wa Mali kushtakiwa kwa uhaini

BBCSwahili.com | Mwanzo - 9 hours ago
Watawala wa kijeshi wanapanga kumfungulia mashtaka ya uhaini rais waliyempindua, Amadou Toumani Toure

Al-Qaeeda yanyemelea vijana Uingereza

BBCSwahili.com | Mwanzo - 9 hours ago
Vijana waingereza wenye asili ya kiafrika, huenda wakawekwa kasumba na Al-qaeeda wakati kundi hilo likitafuta kukita mizizi Afrika

KOCHA WA ES SETIF - SIMBA WASUBIRI KIPIGO CHA AJABU.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 17 hours ago
*Kocha wa ES Setif, Alain Geiger ametambia kurejea uwanjani kwa wachezaji wake watatu ambao walikosekana wakati timu hiyo ilipofungwa mabao 2-0 na Simba Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba iliifunga ES Setif katika mchezo wa kwanza raundi ya kwanza Machi 25 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika michuano ya Kombe la Shirikisho. * * Wachezaji hao ni Abdelmoumen Djabou, Bengoreine Gourmi na Delhoum, ambao pia aliwatumia kwenye mchezo baada ya kuifunga CRB Ain Oussera kwa mabao 3-1, kwenye robo fainali ya mchezo wa Kombe la Algeria na kutinga nusu fainali mwishoni mwa wik... more »

HATIMAYE SAMUEL ETO'O AFUTA KESI YA MADAI DHIDI YA BARCELONA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 17 hours ago
* Straika wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto'o ameamua kufuta kesi yake ya madai ya mabilioni ya shilingi dhidi ya klabu yake ya zamani, Barcelona. Eto'o alikuwa akiida klabu hiyo wakati akihama kwenda Inter Milan ya Italia. Katika madai yake, Eto'o alitaka kulipwa kiasi cha Dola za Kimarekani 3.9milioni kama sehemu ya makubaliano alipohama na kwenda kujiunga na Inter katika msimu wa mwaka 2009. "Barcelona ingependa kutoa taarifa ya kumshukuru Samuel Eto'o kwa dhamira yake ya kumaliza suala lililokuwa mbele yetu," ilisema taarifa ya klabu hiyo jana jioni. "Yeye (Samuel) alikuw... more »

No comments:

Post a Comment