Thursday, April 19, 2012

HABARI MBALIMBALI

  HABARI MBALIMBALI

 

Uchaguzi G. Bissau kuchelewa

Watawala wa kijeshi wamesema uchaguzi wa urais utafanyika baada ya miaka miwili

Breivik alipanga kulipua mabomu matatu

Ameseme alipanga kushambulia makao makuu ya serikali, ofisi za chama cha Labour na kasri la familia ya kifalme.

Mafundi wa Force India watoroka

Washambuliwa Bahrain

Mpango wa amani Syria waporomoka

BBCSwahili.com | Mwanzo - 2 hours ago
Mpango huo anashurutisha majeshi ya serikali kuondoka kwenye maeneo ya makaazi

Kanda ya ubakaji yazua ghadhabu A. Kusini

BBCSwahili.com | Mwanzo - 2 hours ago
Watu nchini humo wameelezea hisia kali baada ya kusambazwa kwa kanda ya video ikionyesha msichana akibakwa

MANCHESTER UNITED WAENDELEA KUONGOZA KWA UTAJIRI DUNIANI KWA MWAKA WA 8 MFULULIZO - YAZIFUNIKA REAL NA BARCA.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
* * *Manchester United wametajwa tena kama timu ya soka tajiri zaidi duniani - wakitajwa kuwana thamani ya £1.39billion.* * * *Mabingwa hao wa Uingereza wamekaa kileleni mwa listi ya jarida la kimarekani la Forbes kwa miaka 8 mfululizo kufuatia mwaka mwingine wa mafanikio chini ya Sir Alex Ferguson.* * * *Majirani zao Manchester City wenyewe pamoja na matanuzi yote ya Fedha hawajaweza hata kuingia Top 10 - wakishika nafasi ya 13.* * * *Timu nyingine ya kiingereza iliyofuata nyayo za United ni Arsenal waliopo nafasi ya nne, wakifuatiwa na Chelsea katika nafasi ya saba, Liverpool w... more »

BARCELONA YAENDELEZA UTEJA KWA CHELSEA - DROGBA AWADUNGA KAMOJA TU

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 6 hours ago
Chelsea 1-0 Barcelona *by goalsarena2012-3*

BAADA YA RUFAA YAO KUTUPWA - YANGA WATAFAKARI CHA KUFANYA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 6 hours ago
*SIKU moja baada ya kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutupilia mbali rufaa ya timu ya Yanga kupinga kupokwa pointi tatu na mabao matatu, uongozi wa klabu hiyo umesema bado unatafakari cha kufanya. * *Kamati ya nidhamu chini Mwenyekiti wake kamishna mstaafu wa Polisi Alfred Tibaigana iliyokutana juzi ilitupilia mbali rufani hiyo ya Yanga iliyowasilishwa na Yanga ikilalamikia kamati ya kamati ya Ligi kuipoka pointi hizo na mabao matatu baada ya kumchezesha beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ambaye alikuwa akitumikia adhabu ya kukosa mechi tatu. * *Ofisa habari wa Y... more »

MATUKIO YA PICHA UWANJA WA KAITABA YANGA NA KAGERA SUGAR

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 7 hours ago
anaitwa sajid shabiki wa kagera sugar. Abdulraz Majid mtangazaji kasibante fm radio Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Fabian Masawe ndiye alikua mgeni rasmi pembeni ni Athmani Chama katibu wa chama cha soka mkoa Mwamedi Hussen msemaji wa kagera sadik galiatano kushoto, enock na kulia ni mc baraka wa bukobawadau.

Kapteni ana mimba

BBCSwahili.com | Mwanzo - 10 hours ago
Bi Faye White atajufungua Oktoba

Chelsea 1 Barcelona 0

BBCSwahili.com | Mwanzo - 16 hours ago
Yakaribia fainali ya klabu bingwa

Bashir,"Nitawakomboa raia wa S.Sudan"

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Rais Bashir anasema atawakomboa raia wa Sudan Kusini kutoka kwa utawala wake. Anaongeza kwamba hakuna tena mipaka ya nchi hizo

Kombe la Olimpiki lauzwa

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Kombe la fedha limeuzwa katika mnada kwa takriban dolla laki tisa

SIMBA YAZIDI KUCHANUA MAKUCHA NA KUTAMBA KILELENI - YANGA YAPIGWA TENA HUKO KAGERA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 21 hours ago
*Simba imendelea kujiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania baada ya kuichapa JKT Ruvu kwa mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa. * * Kwa matokeo hayo, Simba imejiweka katika nafasi nzuri ya kunyakua ubingwa huo baada ya kujikita zaidi kileleni mwa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 56 ikiwazidi, pointi 13 mabingwa watetezi, Yanga. Simba ilianza kwa kasi mchezo na kufanikiwa kupata bao la kwanza katika dakika ya kwanza ya mchezo lililofungwa na Uhuru Selemani kwa kichwa baada ya kuunganisha kona iliyopigwa na Emnuel Okwi.* * Simba wal... more »

Nyaraka za ukoloni zatolewa Uingereza

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Nyaraka zinaonyesha harakati za Mau Mau nchini Kenya

LEO NI MIAKA 5 TANGU MESSI ALIPOMLIPA MARADONA.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 23 hours ago
miaka mitano iliyopita siku kama ya leo Leo Messi alifunga moja kati ya mabao yake bora katika maisha yake ya kucheza soka.ilikua ni kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe ya mfalme ugenini dhidi ya Getafe. Maradona vs England kwenye robo fainali ya kombe la dunia mnamo mwaka 1986.

REAL MADRID NDIO ILIYOPIGA MASHUTI MENGI YALIYOLENGA GOLI KWENYE LA LIGA NA CHAMPIONS LEAGUE.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 23 hours ago
*Kikosi cha Jose Mourinho kimepiga mashuti mengi langoni mwa wapinzani kuliko timu yoyote katika la liga na Champions league, wana wastani wa 8.1 na 8.5 kwa mechi katika kila michuano hiyo. Real wamepiga mashuti 270 yaliyo lenga langoni mwa wapinzani katika mechi 33 msimu huu katika La Liga, kuliko Barcelona, Atletico Madrid na Sevilla. Mechi ambazo walipiga mashuti mengi yaliyolenga lango msimu ni dhidi ya Zaragoza (17), ikifuatiwa na mechi dhidi ya Granada walipiga mashuti 12.* *SHOTS ON GOAL IN LA LIGA* *TEAM* *TOTAL SHOTS* *PER MATCH* *Real Madrid* *270* *8.1* Barcelona 25... more »

OFFICIAL: RUFAA YA YANGA YAPIGWA CHINI !

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 23 hours ago
Cannavaro KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Aprili 17 mwaka huu) imetupa rufani ya Yanga iliyowasilishwa mbele yake kupinga uamuzi wa kupokwa pointi tatu kwa kumchezesha mchezaji asiyestahili. Aprili 2 mwaka huu Kamati ya Ligi ya TFF iliipa Coastal Union ushindi wa pointi tatu na mabao matatu baada ya Yanga kumchezesha beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya timu hizo iliyofanyika Machi 31 mwaka huu wakati akiwa na adhabu ya kukosa mechi tatu. Yanga katika rufani hiyo iliwasilisha sababu nan... more »

Nyaraka za Ukoloni kutolewa

Mwaka uliopita serikali ya Uingereza iliwasilisha hoja mahakamani kupinga kutolewa kwa nyaraka hizo za siri.

No comments:

Post a Comment