Tuesday, April 3, 2012

PELE ALIFUNGA MAGOLI 758 NA SIO 1,283 - SABABU? -ZIJUE SIRI NNE AMBAZO PELE HAPENDI WATU WAJUE.

MFUKO WA PESHENI WA LAPF WAPIGA TAFU KAMBI YA MASUMBWI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 2 hours ago
Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

TAARIFA KUTOKA TFF!

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 2 hours ago
*TWIGA STARS YASAIDIWA JEZI ZA MAZOEZI* Kampuni ya Galileo by Travelport Tanzania imetoa msaada wa jezi za mazoezi na maji kwa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) wenye thamani sh. milioni 1.5. Msaada huo umekabidhiwa leo (Aprili 3 mwaka huu) na Meneja Biashara wa Galileo by Travelport Tanzania, Margret Leslie ambaye amesema wameitikia mwito wa kuisadia timu hiyo ili iweze kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali inayoikabili. TFF imeishukuru kampuni hiyo ya uwakala wa tiketi za ndege kwa msaada huo na kuzitaka kampuni, taasisi na watu binafsi kujitokeza kuisaidia Twiga Star... more »

OFFICIAL: TFF YAIPOKA POINTI YANGA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
Kamati ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipa Coastal Union ushindi wa pointi tatu na mabao matatu baada ya Yanga kumchezesha mchezaji Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kwenye mechi kati ya timu hizo iliyochezwa Machi 31 mwaka huu Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo ulifanywa na Kamati ya Ligi iliyokutana jana (Aprili 2 mwaka huu) kupitia ripoti mbalimbali za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza umezingatia Kanuni ya 25(f) ya Ligi Kuu ya Vodacom juu ya Udhibiti wa Wachezaji. Kanuni hiyo inasema: “Ni lazima kwa klabu na wachezaji kutunza kumbukumbu za kadi. Kl... more »

SAMATTA KUKAA ZAIDI NJE KWA MAUMIVU YA BEGA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anaweza kuwa nje ya Uwanja kwa muda zaidi kutokana na maumivu yake ya bega aliyoyapata wiki iliyopita mjini Kitwe Zambia, akiichezea klabu yake Tout Puissant Mazembe dhidi ya Power Dynamos ya huko katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa kwenye tovuti ya TPM imesema leo kwamba, Samatta akiwa Kenya alilazimika kusimama kwa muda kutokana na kuzidiwa kwa maumivu na hiyo inamaanisha hataweza kucheza mechi ya Jumapili dhidi ya Dynamos. Samatta aliyefunga bao la Mazembe katika sare ya 1-1 ugenini kwenye mechi hiyo ya kwa... more »

Referee’s wetu wa Boxing 90% wengi wao sio competent.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
Referee’s wetu wa Boxing 90% wengi wao sio competent to be a boxing referee, ufahamu wao ni mdogo mno ktk maswala ya boxing, wengi wanafanyia uzoefu kwa kuwa waliwai kucheza ngumi hapo nyuma, ila hawajawai kupata proper training yeyote ya boxing referee. APPEARANCE: Wengi wanavaa uniform hazipo smart, shart alijapigwa pasi, viatu hata kiwi awapigi, suruali ndio usiseme.PST – uniform zao ni trouser black na shati white na necktie redTPBO – trouser black, shati dark blue, tai blackTPBC – wanavaa kama PST isipokuwa tai zao ni blackKBF – Chama cha Habibu Kinyogoli, wao wanakodi maref... more »

TAKWIMU ZINAONYESHA ARSENAL NDIO KLABU ILIYOPEWA PENATI NYINGI KULIKO TIMU ZOTE KATIKA EPL KATIKA MISIMU 8 ILIYOPITA - MAN UNITED YA MWISHO KATIKA VIGOGO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
Double Click upate kuona vizuri takwimu za misimu nane iliyopita kuhusu adhabu ya penati nchini England. * * *- Arsenal ndio timu iliyopewa penati nyingi kuliko timu yoyote katika ligi kuu ya katika misimu mitatu kati ya nane iliyopita. Manchester City wenyewe ndi wamepewa penati nyingi zaidi katika misimu miwili kati ya nane iliyopita.* * * *-Arsenal na City wamepewa adhabu ya penati mara nyingi kuliko timu yoyote katika premier league katika 1 ya misimu nane iliyopita* * * *- Arsenal ndio wanaongoza kwa kupewa penati nyingi na kupigiwa kuliko timu yoyote katika ligi ku... more »

IMEGUNDULIKA PELE ALIFUNGA MAGOLI 758 NA SIO 1,283 - SABABU? -ZIJUE SIRI NNE AMBAZO PELE HAPENDI WATU WAJUE.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
*Pele kwa muda mrefu amekuwa kiudanganya umma wa soka na mambo yake yaliyo na ukweli nusu kuhusu mafanikio yake. Ni huyu huyu jamaa aliyesema Nicky Butt ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2002. Hivyo usiyachukulie maneno yake kama Injili, tena wakati anapoongea kuhusu maisha yake - kitu ambacho anapenda sana. Makala hii ni mahususi kuweza kuondoa ukungu kuhusu Pele na haya ni mambo matano ambayo hapendi watu wajue. 1: PELE HAKUFUNGA MABAO 1,283 KATIKA MECHI RASMI * *Pele alifunga magoli 1,283, lakini 526 kati ya hayo alifunga katika mechi ambazo h... more »

KIBONZO CHA LEO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago

Ripoti ya mkanganyiko wa ligi ya soka jijini Tanga.

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
Jumla ya timu 14 ambazo zinatakiwa kushiriki ligi ya mkoa ambayo ilipangwa katika makundi matatu Timu zilizogawanywa katika makundi matatu na kundi lililokuwa na matatizo lilikuwa na timu ya Small Prison, African Sports , Segera FC , Air Shooting na Lushoto Shooting. Timu ya Segera FC ndio ilionekana ni dhaifu katika kundi hilo ambapo mchezo wake wa kwanza ilifungwa mabao 2 kwa 1, mchezo wa pili walicheza dhidi ya Air Shooting wakafungwa mabao 4 kwa 1 na katika mchezo wa tatu dhidi ya Small Prisons ikafungwa mabao 5 kwa 1. Mchezo uliokuja kuleta kasheshe ni baina ya African Sports d... more »

BREAKING NEWS! YANGA YAPOKWA POINTI 3 KWA KUMCHEZESHA NADIR HAROUB !

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
TAARIFA ZILIZOPATIKANA HIVI PUNDE KAMATI YA LIGI KUU YA VODACOM IMEINYANG'ANYA POINTI TATU KLABU YA YANGA KWA KOSA LA KUMTUMIA BEKI NADIR HAROUB HUKU AKIWA HAJAMALIZA ADHABU YA KUTOCHEZA MICHEZO MITATU. KAMATI HIYO IMEIPATIA POINTI TATU KLABU YA COASTAL UNION YA MKOANI TANGA. TAARIFA ZAIDI ZITAENDELEA KUKUJIA KADRI ZITAKAVYOPATIKANA!

Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock ni Mzee Eliahidi

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
"Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Mzee Eliahidi Musa Mvamba (mwenye kofia)kutoka Moshi ambaye amejishindia simu aina ya Nokia kwa kuongeza muda wa maongezi wa Tsh 1000. Kila siku Zantel wanatoa simu 24, simu moja kila saa pamoja na milioni 1 kupitia promosheni yao mpya ya Tick Tock. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Masoko Deepak Gupta, Afisa Mkuu wa Fedha Ahmad Almutawa na Mkurugenzi wa Biashara Ahmed Seif."

VIJANA WA MSIMBAZI NDANI YA SUTI AMBAZO KIUKWELI HAWAJAZITENDEA HAKI!

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
JEMBE LA SPORTS BAR YA CLOUDS TV EZRA KAAYA LIKIWA BIZE ILE MBAYA! Baron hotel,hote​l walipofiki​a simba jijini cairo Baron palace jengo la kwanza kujengwa jijini cairo KUTOKA KUSHOTO, AMIR MAFTAH,JUMA KASEJE, KOCHA MILOVAN CIRKOVIC,KOCHA WA MAKIPA JAMES KISAKA NA MKUU WA MSAFARA DAN MANEMBE. DAAAH KIKWELI MMEPENDEZA LAKINI BAADHI YENU HAMJAZITENDEA HAKI SUTI ZENU...AU ?

CRISTIANO RONALDO VS LIONEL MESSI - MWEZI WA 3

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
*LA LIGA: ROUND 25* * **vs* *SPORTING GIJON* March 3 Camp Nou* * *RESULT* Barcelona 3-1 Sporting Gijon *INDIVIDUAL MATCH STATS** * *Minutes played* - *Goals* - *Assists* - *Shots* - *Shots on goal * - *Passes* - *Passes completed* - * * *N/A* Messi alikuwa kasimamishwa hii mechi ya kufikia kuwa na idadi kubwa ya kadi za njano. *** vs*[image: Espanyol] *ESPANYOL* March 4 Santiago Bernabeu * * *RESULT* Real Madrid 5-0 Espanyol *INDIVIDUAL MATCH STATS* *Minutes played* 93 *Goals* 1 *Assists* 0 *Shots* 9 *Shots on goal* 3 *Passes* 42 *Passes comple... more »

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 4 hours ago
YAH:-TIMU YA TAIFA YA NGUMI KUKABIDHIWA VIFAA VYA MAZOEZI NA LAPF TAREHE 3/4/2012 SAA 4.00 KATIKA OFISI ZA LAPF MILLENIUM TOWER KIJITONYAMA. Awali ya yote shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) tunatoa shukrani za dhati kwa kwa shirika la LAPF kwa mara nyingine kukubali kuipatia timu ya Taifa ya ngumi msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya maandalizi kushiriki mashindano ya kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika Casablanca Morocco Aprili 27/2012 na hatimaye mashindano ya Olimpiki Julai 2012 London Uingereza. Zoezi hilo litafanyik... more »

Waasi wa Columbia waachilia mateka

BBCSwahili.com | Mwanzo - 12 hours ago
Mateka kumi miongoni mwao polisi na wanajeshi waachiwa huru baada ya kuzuiliwa kwa zaidi ya miaka kumi

United yaizaba Blackburn

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Yashinda 2-0 magoli ya Valencia na Young

Syria ina hadi Aprili 10 kuweka amani

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Mjumbe maalum wa amani nchini Syria, Koffi Annan ametaka mapigano yaishe kabla ya aprili 10

Wake wa Osama wahukumiwa jela siku 45

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Wajane watatu na mabinti wao wafungwa jela kwa siku 45 kila mmoja

No comments:

Post a Comment