Monday, November 5, 2012

MANCINI HALI YAZIDI KUWA TETE - CITY WAKITOKA SARE NA WEST HAM

Mboni Show *

Papa mpya wa Copt achaguliwa Misri

BBCSwahili.com | Mwanzo - 17 hours ago
Papa mpya ni Askofu Tawadros, aliyekuwa msaidizi wa papa aliyefariki mwezi March

Baraza la mawaziri lateuliwa Somalia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 18 hours ago
Waziri Mkuu wa Somalia ametangaza baraza lake jipya la mawaziri.

Milingoti ya simu yashambuliwa Nigeria

BBCSwahili.com | Mwanzo - 20 hours ago
Wapiganaji wa Boko Haram wamekuwa wakishambulia milingoti mingi ya simu za mkononi kaskazini mwa Nigeria

LIVE MATCH CENTRE: YANGA 2-0 AZAM - MTIBWA 2-0 SIMBA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 22 hours ago
*FULL TIME MOROGORO: Dakika ya 89, kipa Juma Kaseja, anafanya kosa la mwaka. Baada ya kurudishiwa mpira na Kapombe, akataka kumpiga chenga, Kisiga, lakini akashindwa na Hussein Javu akafunga bao la pili .Mpira umekwisha. Dakika ya 90.* *FULL TIME TAIFA: YANGA 2-0 AZAM FC* * Taifa:**Dk 90 Luhende anaangushwa ndani ya eneo la hatari la Azam, mwamuzi anapeta.* *Dk 89 Yanga inaendelea kutawala mchezo na Azam inapoteza pasi nyingi. AZAM 0-2 YANGA* *Dk 85 Yanga inaishambulia Azam na kwa dakika 10 Azam inapotezwa uwanjani kwani Yanga imetawala mchezo.* * Simba wanapata kona dakika ya 7... more »

Kanisa la polisi lashambuliwa Garissa

Shambulio la guruneti kwenye kanisa ndani ya kambi ya polisi mjini Garissa limewajeruhi watu kadha

HIVI NDIVYO TANZANIA ILIVYOMPATA MREMBO WAKE USIKU WA JANA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
** *Mshindi wa Taji la Redds Miss Tanzania 2012, Brighter Alfred (katikati) akipunga mkono kwa furaha katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili, Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo. Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni wakati, Eugene anatoka Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa huku Edda ni Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.* * Warembo waliofanikiwa kuingia hatu5 bora ya Redds Miss Tanzania 2012, kutoka kushoto ni Brigitte Alfred, Eugen Fabian, Happyness Daniel, Edda Sylves... more »

MAGOLI NA TAKWIMU ZOTE ZA MCHEZO KATI YA MAN U VS ARSENAL

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
Manchester United 2-1 Arsenal Maç Özeti |izlesene.com

MANCINI HALI YAZIDI KUWA TETE - CITY WAKITOKA SARE NA WEST HAM

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
ปแปผ footyroom.com *by footyroom*

CHELSEA WASHIKWA NA SWANSEA WASHUKA KILELENI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
EPL : Swansea City vs Chelsea 1-1 *by MRLooka*

No comments:

Post a Comment