Monday, November 5, 2012

Kampeini zapamba moto Marekani

Kampeini zapamba moto Marekani

BBCSwahili.com | Mwanzo - 2 hours ago
Wagombea wamesalia na siku moja kukamilisha kampeini zao kabla ya uchaguzi wa siku ya Jumanne

Barack Obama, je alikuwa mwokozi?

BBCSwahili.com | Mwanzo - 3 hours ago
Alikuwa mtu ambaye watu walidhani alikuwa mtabiri wa kisiasa, mwokozi , mponyaji ambaye angewapatanisha wamarekani na kuondoa kabisa hali ya ghadhabu kuhusu uliokuwa uongozi wa rais Mustaafu George Bush. Alikosea wapi?

Mwanamke wa kwanza waziri wa Somalia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 4 hours ago
Fauzia Yusuf Haji Adan ni mmoja wa wanasiasa kumi walioteuliwa katika baraza la mawaziri na ameteuliwa kama waziri wa mambo ya nje.

Sudan Kusini yamfurusha afisaa wa UN

BBCSwahili.com | Mwanzo - 4 hours ago
Serikali inasema kuwa afisaa huyo alichapisha ripoti ya uchunguzi kuhusu haki za binadamu ambayo haikuwa na ukweli

KAGERA SUGAR ILIVYOWALAMBISHA VIJIKO 2 - 0 WAJELAJELA PRISONS

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 9 hours ago
*Timu ya soka ya Kagera imeendeleza wimbi la ushindi katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kuitwanga Prisons ya Mbeya kwa mabao 2-0. Mabao ya Kagera yalifungwa na Temmy Felix na Mnigeria Mnehe.*

EXCLUSIVE: AMIR MAFTAH WA SIMBA AFUNGA NDOA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
*Mke wa Amir Maftah beki wa kushoto wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania.* *Wanameremeta uongoooo?? Amir na Mkewe baada ya kufunga ndoa* *Amir Maftah na mkewe wakipata picha ya ukumbusho na Mboni Masimba Kim K - mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show *

YANGA ILIPOYEYUSHA ICE CREAM ZA AZAM NA KUWASHUSHA SIMBA KILELENI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
* Wachezaji wa Yanga pamoja na Azam wakiingia Uwanjani. (Picha zote na Habari Mseto Blog)* Benchi la Ufundi la timu ya Azam Benchi la ufundi la timu ya Yanga * Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu akiipangua ngome ya Azam kabla ya kuachia kiki kali na kuipatia timu yake bao la kwanza.* * Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akichuana na beki wa Azam, FC, Said Morad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.* Wachezaji wa Yanga wakishangilia * Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiz... more »

No comments:

Post a Comment