Sunday, November 18, 2012

LUIS SUAREZ AENDELEZA MAKALI YAKE - AIONGOZA LIVER KUIPA THALATHA KWA MTUNGI WIGAN

NORWICH YAMPA MAN UNITED DOZI DOZI ILE WALIYOMPA ARSENAL

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
N1-0M www.fasthighlights.com *by fasthighlights-2013*

OLIVIER GIROUD KIWANGO, ARSENAL WAKIISAMBARATISHA SPURS KWA MIKWAJU MITANO KWA MBILI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 5 hours ago
A5-2T www.fasthighlights.com *by fasthighlights-2013*

WEST BROM WAIPA SOMO CHELSEA - WAITANDIKA 2-1

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
West Brom vs Chelsea 2:1 GOALS HIGHLIGHTS *by UCL2410*

LUIS SUAREZ AENDELEZA MAKALI YAKE - AIONGOZA LIVER KUIPA THALATHA KWA MTUNGI WIGAN

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
Liverpool 3 -0 Wigan All Goals & Highlights (17... *by kofiswag*

MAN CITY YAMTANDIKA ASTON VILLA 5 BILA NA KUKAA KILELENI EPL

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
Manchester City 5 0 Aston Villa hoofoot... *by hoofoot*

LIONEL MESSI AONGEZA MAWILI BAADA YA KUMPITA PELE - BARCA IKICHINJA 3-1

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
FC.Barcelona 3 1 Real ZARAGOZA hoofoot... *by hoofoot*

REAL MADRID YAZIDI KUWACHIMBIA KABURI AKINA LLORENT - WAWAPIGA KIGANJA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 10 hours ago
Real Madrid 5-1 Athletic Bilbao *by goalsarena2012*

Jeshi la MONUSCO laingia kati Goma

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Helikopta za Umoja wa Mataifa zimetumwa kushambulia wapiganaji kaskazini ya Goma, mashariki mwa DRC

Mzozo kati Newcastle na Senegal

BBCSwahili.com | Mwanzo - 19 hours ago
Kuhusu mchezaji wake Papiss Cisse

Arsenal yaipepeta Tottenham 5-2

BBCSwahili.com | Mwanzo - 20 hours ago
Arsenal leo imeilaza Tottenham mabao 5-2 katika mechi ya iliyochezwa katika uwanja wa Emirates.

Mfungwa wa kisiasa afa gerezani Tunisia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 20 hours ago
Mfungwa wa Tunisia aliyekematwa mwezi Septemba afariki baada ya kususia chakula

Sierra Leone yafanya uchaguzi mkuu

BBCSwahili.com | Mwanzo - 21 hours ago
Wananchi wengi wamejitokeza mapema kupiga kura kwenye uchaguzi wa rais na wabunge nchini Sierra Leone

Mtangazaji Fred Mtoi afariki dunia

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Fred Mtoi afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi

Israel yalenga ofisi za Hamas Gaza

BBCSwahili.com | Mwanzo - 22 hours ago
Israel yaendelea kushambulia Gaza kwa ndege, ikilenga ofisi za serikali

MCHEZAJI WA UJERUMANI AAMKA KUTOKA KWENYE COMA BAADA YA MWEZI 1

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
Klabu ya Bundesliga Hoffenheim imesema kiungo wake Boris Vukcevic ameamka kutoka kwenye coma, mwezi mmoja baada ya kujeruhiwa na ajali ya gari. Vukcevic aliwekwa kwenye coma baada ya kufanyiwa upasuaji kufuatia ajali ya gari aliyopata tarehe 28 mwezi wa September, gari yake ilipongana na gari lingine kubwa. Hoffenheim inasema kwamba kiungo huyo mwenye miaka 22, raia wa Ujerumani alipata fahamu masaa yaliyopita na kuweza kuzungumza na ndugu zake, lakini klabu hiy imesema kwa muonekano wa jeraha lake kichwani alilopata kwenye ajali ni vigumu kutoa utabii wowote juu ya upataji nafuu... more »

KILIMANJARO MARATHONI 2013 YAZINDULIWA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Bi. Kushilla Thomas akishirikiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Michezo wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda kukata utepe kuzindua rasmi mbio za Kilimanjaro Marathon 2013 zinazotarajiwa kufanyika Moshi mwezi Machi mwaka 2013. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. (Picha: Executive Solutions)

Mkeo aweza "kunusa" uoga wako

Kutumia iPad usiku usiku kunadhoofisha afya

Wash United kuungana na Taifa Stars kuweka mazingira na Usafi ‘salama’

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
*Mpira wa miguu unaweza kufanya nini kuhusu mazingira na usafi?* Zaidi ya watu bilioni 2.6 duniani wanaishi bila ya kuwa na vyoo. Barani Afrika, magonjwa ya kuhara yanayosabishwa na ukosefu wa vyoo na usafi ni hatari zaidi na ndio yanayosababisha vifo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, hii ni zaidi ya magonjwa kama Ukimwi, Malaria na surua ikifuatia. Takwimu kutoka mashirika ya UNICEF na WHO zinaonyesha kuwa nchini Tanzania zaidi ya asilimia 90 ya watanzania wanaishi katika mazingira machafu, na asilimia 12 hawana vyoo wala maji. Matokeo yake zaidi ya watoto 24,000 nc... more »

WACHEZAJI 20 WALIOITEKA ULAYA KWA KUZISAIDIA TIMU ZAO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
Kabla ya kuwataja wachezaji bora 20 ambao wameiteka Ulaya, napenda kuthamini mchango wa wachezaji hawa katika timu zao Yaya Toure, Xavi, Mario Gotze, Wayne Rooney, na Hazard. Hawa wamekuwa kwenye viwango bora kabisa msimu huu huku wakiziwezesha timu zao katika kupata matokeo bora. *Frank Ribery (20) * Mfaransa huyu amekuwa akijitolea kila kitu kwa ajili ya klabu yake ya Bayern Munchen. Licha ya matatizo yake ya kugombana na winger mwenzake wa Bayern, Arjen Robben mara kwa mara, Ribbery amekuwa bora mara zote anapoingia ndani ya uwanja. Hivi karibuni Ribbery alikaririwa akisema ... more »

MSIKILIZE RAGE ALIPOONGEA NA WAANDISHI - KUWAFUNGIA WANACHAMA WA TAWI LA MPIRA PESA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 1 day ago
VIDEO KWA HISANI YA ITV

No comments:

Post a Comment