Thursday, December 12, 2013

nelson mandela aweka historia afrika kusini

  1. Winnie Madikizela-Mandela - Wikipedia, kamusi elezo huru

    sw.wikipedia.org/wiki/Winnie_Madikizela-Mandela‎
    Ruka hadi Sera ya ubaguzi ya Apatheid - Katika miaka ya 1980 na miaka ya 1990, alivuta ... historia ya Nelson Mandela kamawakilishi katika ...

  2. Nelson Mandela - Wikipedia, kamusi elezo huru

    sw.wikipedia.org/wiki/Nelson_Mandela‎
    Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi ... Je, unajua kitu kuhusu Nelson Mandela kama wasifu wake, habari za maisha ...

  3. picha : nelson mandela aweka historia afrika kusini maelfu ya watu ...

    larrybway91.wordpress.com/.../picha-nelson-mandela-aweka-historia-afr...‎
    siku 2 zilizopita - Zaidi ya maraisa tisini wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kwa ...

  4. PAMOJA: MAAJABU 10 YA MSIBA WA MANDELA

    pamojapure.blogspot.com/2013/.../maajabu-10-ya-msiba-wa-mandela.ht...‎
    siku 2 zilizopita - RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, mweusi wa kwanza ... Hii ni mara ya kwanza katika historia ya taifa hilo lenye nguvu ...

  5. NELSON MANDELA: HISTORIA YA KUSISIMUA YA MAISHA YAKE ...

    www.globalpublishers.info/.../nelson-mandela-historia-ya-kusisimua-ya-...‎
    siku 6 zilizopita - JINA KAMILI: Nelson Rolihlahla Mandela A.K.A: Mandela MAJINA YA UTANI: Madiba, Black Pimpernel MAHALI ALIKOZALIWA: Mveso, ...

  6. picha zaidi zikionyesha historia ya mzee nelson mandela madiba

    www.mchomeblog.com/2013/.../picha-zaidi-zikionyesha-historia-ya.htm...‎
    siku 5 zilizopita - Rais wa Afrika Kusini Frederik Willem de Klerk, (kushoto), na Naibu Rais wa chama cha African National Congress Nelson Mandela, (kulia), ...

  7. Afrika Mashariki yatoa heshima inayostahiki kwa Nelson Mandela ...

    sabahionline.com/sw/articles/hoa/articles/features/2013/12/.../feature-01‎
    siku 6 zilizopita - Wasifu ulio katika video wa Nelson Mandela, mmoja wa watu maarufu sana wa historia ya hivi sasa na alama ya uhuru na mwenye kusamehe ...

  8. Historia fupi ya maisha ya mzee Nelson Mandela - MPEKUZI

    www.mpekuzihuru.com/.../historia-fupi-ya-maisha-ya-mzee-nelson.html‎
    siku 6 zilizopita - Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ...

  9. Nelson Mandela Biography - Birthday, Facts, Life Story, Quotes ...

    www.biography.com/people/nelson-mandela-9397017
    Nelson Mandela became South Africa's first black president in 1994, following a 20-year anti-apartheid campaign. Read more about his life and legacy, and ...

  10. Nelson Mandela — History.com Articles, Video, Pictures and Facts

    www.history.com/topics/nelson-mandela
    Explore the life of South African activist and former president Nelson Mandela, who helped end apartheid and advocated for human rights around the world.
  11. Picha za historia ya nelson mandela

     - Ripoti picha hizi

NELSON MANDELA: HISTORIA YA KUSISIMUA YA MAISHA YAKE

NELSON MANDELA: HISTORIA YA KUSISIMUA YA MAISHA YAKE

JINA KAMILI: Nelson Rolihlahla Mandela
A.K.A: Mandela
MAJINA YA UTANI: Madiba, Black Pimpernel
MAHALI ALIKOZALIWA: Mveso, Transkei, South Africa
KAZI: Mwanaharakati, Kiongozi wa dunia
TAREHE YA KUZALIWA: Julai 18, 1918
TAREHE YA KUFA: DESEMBA 05, 2013
MAHALI ALIKOFIA: Johannesburg, South Africa
ELIMU: Taasisi ya Clarkebury, Chuo cha Wesleyan, Chuo Kikuu Kishiriki cha Fort Hare, Chuo Kikuu cha London, Chuo Kikuu cha Witwatersrand, Johannesburg.
ASILI YAKE
Nelson Mandela, Mwanasiasa maarufu nchini Afrika Kusini na duniani kwa ujumla ambaye alikuwa mtu muhimu katika kuutokomeza ubaguzi wa rangi nchini mwake, ni mtoto wa Chifu wa kabila la Tembu, Chifu Henry Mandela. Mandela alizaliwa katika mji mdogo wa Transkei.
CHAMA CHA ANC
Mandela alisoma katika Chuo Kikuu cha Fort Hare na Chuo Kikuu cha Witwatersrand. Akawa mwanasheria mwaka 1942. Mwaka 1944, alijiunga na Chama cha ANC, chama kilichodhamiria kuutokomeza utawala wa makaburu weupe pekee. Mwaka 1960, Chama tawala cha makaburu kilikipiga marufuku cha cha ANC na kuwashitaki viongozi wake kwa kosa la uhaini, lakini Mandela aliachiwa huru.
Rais Barack Obama akiwa ndani ya chumba cha gereza alimokuwa akiishi Mandela akitumikia kifungo chake cha maisha.
KUFUNGWA GEREZANI
Akiendeleza harakati zake za kupambana na makaburu, Mandela alikamatwa, akatiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha maisha gerezani kuanzia mwaka 1964 hadi 1990, ambapo maisha yake kama kiongozi wa harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi yakajulikana dunia nzima. Kama mfungwa wa dhamiri, Mandela mara kwa mara alikataa kuachiwa kwa masharti.
Mandela akiwa ndani ya chumba cha gereza alimokaa kwa miaka 26, hapa alikwenda kutembea baada ya kuwa rais.
KUACHIWA HURU
Mwaka 1990, akiwa amekaa jela kwa miaka 26 na akiwa na umri wa miaka 71, iliachiwa huru bila masharti yoyote baada ya utawala wa kibaguzi kushinikizwa na jumuiya ya kimataifa. Mwaka 1993, Nelson Mandela alishinda Tuzo ya Nobel kwa harakati zake za kisiasa.
Nelson Mandela akiwa na binti yake Princess Zenani Dlamini (kati) wengine ni wajukuu zake Zaziwe Manaway, (kushoto aliyembeba kitukuu chake Ziphokazi Manaway) na Zamaswazi Dlamini (kulia, mwenye kitukuu  Zamakhosi Obiri).
MAISHA YA URAIANI
Mwaka 1994 akiwa katika umri huo, Mandela aligombea kiti cha uraisi na kushinda akiwa raisi wa kwanza mweusi.

historia ya Nelson Mandela

Nelson Mandela

Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Nelson Mandela
Nelson Rolihlahla Mandela (18 Julai, 1918 - 5 Desemba, 2013) alikuwa rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi (Apartheid) katika Afrika Kusini. Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha kwa miaka 27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika kisiwa cha Robben. Baada ya kuachiliwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano. Mwaka wa 1993, pamoja na Frederik Willem de Klerk alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nelson Mandela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Urambazaji

Nelson 'Madiba' Mandela 1913-2013

Imebadilishwa: 12 Disemba, 2013 - Saa 10:17 GMT
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.
Mwili wa hayati Nelson Mandela umewekwa katika jengo la Union ambako aliapishwa wakati aliingia mamlakani mwaka 1994 ambapo wageni wanaendelea kutoa heshma za mwisho.
Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu katika siku iliyokuwa ya ibada maalum kwa Mandela

MAKALA MAALUM

Makala

Teknolojia Wiki Hii

Sema Kenya

Umasikini ndani ya utajiri Kiambu

Nyumba ya Askofu Tutu yavamiwa

Nyumba ya Askofu Tutu yavamiwa

 11 Disemba, 2013 - Saa 15:21 GMT
Desmond Tutu aliwakaripia wananchi wa Afrika Kusini alipokuwa anahutubia kwenye ibada ya Mandela
Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu.
Polisi wamesema wizi huo ulifanyika wakati bwana Tutu akiwa katika ibada ya Nelson Mandela Mjini Johannesberg.
Inaarifiwa Tutu aliibiwa vitu vyake wakati akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuaga Hayati Nelson Mandela siku ya Jumanne.
Aidha wameelezea kuwa uvamizi ulifanyika nyumbani kwake mjini Cape Town Ahamisi jioni baada ya kutoa hotuba katika ibada ya Mandela siku hiyo.
Ibada hiyo ilifanyika katika uwanja wa FNB mtaani Soweto.
Wizi na uvamizi wa nyumba za watu ni jambo la kawaida nchini Afrika Kusini ambako visa vya uhalifu viko juu sana.

Siku ya pili heshima mwili wa Mandela

 12 Disemba, 2013 - Saa 07:14 GMT
Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.
Maelfu ya watu wamejipanga kwenye mistari wakisubiri kutoa heshima zao za mwisho kwenye mwili huo uliolazwa katika ikulu kwenye jengo la Muungano mjini Pretoria.
Mjane wa Marehemu Graca Machel na Rais wa sasa wa Afrika Kusini Jacob Zuma, viongozi wa serikali na wanafamilia walikuwa ni miongoni mwa waliotoa heshima zao za mwisho kwenye mwili wa Marehemu Mandela siku ya jumatano.
Viongozi mbali mbali pamoja na raia wa Afrika Kusini walianza kutoa heshima zao za mwisho kuanzia jumatano
Kabla ya kuwekwa katika jengo la ikulu awali mwili huo ulichukuliwa katika msafara kutoka chumba cha maiti cha hosptali hadi kwenye jengo la Muungano.
Msafara wenye jeneza la Marehemu uliondoka mjini katika Hosptali ya jeshi muda mfupi siku ya jumatano. Jeneza lilibebwa kwenye gari maalum na kufunikwa bendera ya Afrika Kusini.
Wananchi walijipanga kando kando ya barabara lilipopitishwa jeneza kama ishara ya kutoa heshma za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Msafara ulipita katika mitaa huku baadhi ya raia wakikimbia pembeni kwenye mstari wa askari wa wanajeshi Mwandishi BBC's Joseph Winter katika mji wa Pretoria amesema.
Wanajeshi waliobeba jeneza hilo walisonga hatua kwa hatua hadi katika Majengo ya Muungano eneo alikoapishwa kuwa rais wa kwanza mzalendo wa Afrika kusini 1994.
Marehemu Mandela atazikwa nyumbani kwake katika kijiji Qunu katika jimbo la Cape Mashariki siku ya jumapili.

Kenya yakata keki miaka hamsini!

Kenya imefikisha miaka hamsini tangu kujitatawala lakini changamoto bado ni nyingi kwani ndoto ya kufikia mengi haijatimia.

Safari ya Kenya hadi 50 tangu 63

Wachoraji wa vibonzo nchini Kenya watoa taswira yao kuhusu Kenya ilipofika tangu mwaka 1963

Siku ya pili heshima mwili wa Mandela

BBCSwahili.com | Habari - 4 hours ago
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.

BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI - ARSENAL KUCHEZA 16 BORA DHIDI YA AIDHA BARCA, MADRID, ATLETICO, PSG AU BAYERN - TOA MAONI UNGEPENDA IPANGWE NA TIMU GANI?

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*TIMU ZA ENGLAND DHIDI YA TIMU AMBAZO ZINAWEZA KUPANGWA NAZO KATIKA 16 BORA YA CHAMPIONS LEAGUE. UNGEPENDA TIMU YAKO IPANGWE NA NANI? TOA MAONI…..* *ARSENAL* Real Madrid PSG Bayern Munich Atletico Madrid Barcelona *CHELSEA* Bayer Leverkusen Galatsaray Olympiakos Zenit St Petersburg AC Milan *MANCHESTER CITY* Real Madrid PSG Dortmund Atletico Madrid Barcelona *MANCHESTER UNITED* Galatasaray Olympiakos Schalke Zenit St Petersburg AC Milan

VIDEO: NEYMAR APIGA HAT TRICK YA KWANZA BARCA NDANI YA DAKIKA 13 - WAKIIUA CELTIC 6-1

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
All Goals - Barcelona 6-1 Celtic - 11-12-2013... *by video4all*

DAVID MOYES ASAFIRI MPAKA JIJINI MADRID KUMUANGALIA KIUNGO KOKE - ATLETICO MADRID WATAJA BEI YA KUMUUZA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*David Moyes alionekana kwenye dimba la Vicente Calderon kwenye mchezo wa Atletico Madrid dhidi ya Porto usiku wa jana.Kocha huyo wa Manchester United anategemewa kufanya usajili wakati dirisha la usajili mwezi ujao litakapofunguliwa baada ya kuwa na mwanzo mbovu. * *Huku Atletico nao wakiwa wamefuzu wakiwa hajafungwa na wakiongoza kundi lao, Moyes inawezekana* * hakuwa uwanjani pale kuangalia timu ambayo anaweza kukutana nayo raundi inayofuatia, kiungo wa klabu ya Atletico Koke anatajwa kuwepo kwenye rada ya Man United na usiku wa jana ilifahamika wazi kwamba kiungo huyo ana ... more »

MATOKEO YA CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL APIGWA 2-0, CHELSEA ASHINDA, BARCA YAUA NEYMAR AKING'ARA VILIVYO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*Chelsea 1-0 Steaua BucurestiSchalke 2-0 Basel Napoli 2-0 ArsenalMarseille 1-2 Borussia DortmundBarcelona 6-1 CelticAC Milan 0-0 Ajax Atletico Madrid 2-0 PortoAustria Wien 4-1 Zenit PetersburgTIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORAWalioshika nafasi ya kwanza kwenye makundi: MAN UTD, Real Madrid, PSG, Bayern Munich, CHELSEA, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona. Washindi wa pili: Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiakos, MAN CITY, Schalke, ARSENAL, Zenit, AC Milan.*

HIGUAIN: SIKUWAHI KUZUNGUMZA NA KLABU YA ARSENAL KUHUSU KUNISAJILI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
*Kikosi cha Arsene Wenger kinacheza na Napoli usiku huu katika mechi ya kuamua msimamo wa mwisho wa kundi F katika michuano ya Champions League.Na japokuwa Wenger alijaribu kumsajili Higuain Arsenal, mshambuliaji huyu wa kiargentina anasisitiza hakuwahi kuzungumza na klabu hiyo ya kaskazini mwa London."Ndio," Higuain alijibu alipoulizwa na gazeti la Times, kama kulikuwa na uwezekano wa kuhamia Arsenal katika kipindi cha kiangazi kilichopita."Lakini sikuwahi kuzungumza nao. Kulikuwa na mazungumzo baina ya Real Madrid na Arsenal, lakini ilikuwa ni Napoli ambao walikuja na... more »

JUVENTUS YAAGA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
Juventus ya Italia imetolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa katika ngazi ya vilabu barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0,bao hilo pekee limewekwa kambani na kiungo raia wa Uholanzi Wesley Sneijder. Mchezo huo ilibidi ufanyike tena hii leo baada ya jana kusimamishwa kutokana na hali ya hewa.

RONALDO AWEKA REKODI YA MABAO UEFA CHAMPIONS LEAGUE!

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
MshambuliajiCristiano Ronaldo usiku wa jana alifunga bao moja wakati timu yake ya Real Madrid ilipopata ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya FC Copenhagen.Bao hilo alilofunga Ronaldo lilikuwa la 9 na lilimwezesha kuweka rekodi mpya ya mabao kwenye michuano hiyo ya Uefa Champions League kwenye hatua ya makundi. Ronaldo pia kwenye mchezo huo alikosa mkwaju wa penati.

Unicef:'Ni kosa watoto hawaandikishwi'

BBCSwahili.com | Habari - 18 hours ago
Shirika la Unicef, limesema kuwa takriban watoto milioni laki mbili na thelathini hawajawahi kuandikishwa tangu wazaliwe duniani.

Moyes :'Man U wako imara'

BBCSwahili.com | Habari - 20 hours ago
David Moyes, amesema klabu hiyo ni miongoni mwa vilabu 5 bora vinavyoweza kushinda kombe la klabu bingwa Ulaya lakini kinahitaji kujiboresha mwanzo

MAKALA: KILIMANJARO STARS HAINA CHA KUJIVUNIA KUTOKA CECAFA CHALLENGE CUP

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 20 hours ago
*Na Baraka Mbolembole* * Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ' kilimanjaro stars', ilipoteza mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Mataifa ya ukanda wa Africa Mashariki na Kati ( Cecafa Challenge Cup) na timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars katika uwanja wa Nyayo, jijini Nairobi. Stars ilicheza kandanda safi kwa muda mwingi wa kipindi cha pili, na kuwaweka wenyeji katika wakati mgumu. Kenya, wakicheza kwa tahadhari kubwa hasa baada ya kupata bao la kuongoza katika dakika ya tano ya mchezo, walitumia mbinu ya kupiga mashuti ya mbali baada ya ukuta wa Stars kuonekana kuwa mgum... more »

Nyumba ya Askofu Tutu yavamiwa

BBCSwahili.com | Habari - 20 hours ago
Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu.

India yapinga wapenzi wa jinsia moja

BBCSwahili.com | Habari - 21 hours ago
Mahakama ya juu kabisa nchini India imepinga uhusiano wa wapenzi wa jinsia moja.

Katumbi na matarajio ya TP Mazembe

BBCSwahili.com | Habari - 23 hours ago
Mmiliki na mwenyekiti wa timu ya soka ya TP Mazembe kutoka Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo Moise Katumbi amesema ana mpango wa kuiimairisha timu hiyo.

Miaka 50 ya Kenya kujitawala

BBCSwahili.com | Habari - 23 hours ago
Timothy Njoya ni mmoja wa waliohusika na harakati za kutafuta katiba mpya

Wapiganaji 19 wa LRA wajisalimisha

Jeshi la Uganda linadai kuwa limewakamata waasi 19 wa LRA na kumuua kamanda mmoja kwa jina Kanali Samuel Kangul.