Thursday, December 12, 2013

Kenya yakata keki miaka hamsini!

Kenya imefikisha miaka hamsini tangu kujitatawala lakini changamoto bado ni nyingi kwani ndoto ya kufikia mengi haijatimia.

Safari ya Kenya hadi 50 tangu 63

Wachoraji wa vibonzo nchini Kenya watoa taswira yao kuhusu Kenya ilipofika tangu mwaka 1963

Siku ya pili heshima mwili wa Mandela

BBCSwahili.com | Habari - 4 hours ago
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.

BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI - ARSENAL KUCHEZA 16 BORA DHIDI YA AIDHA BARCA, MADRID, ATLETICO, PSG AU BAYERN - TOA MAONI UNGEPENDA IPANGWE NA TIMU GANI?

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*TIMU ZA ENGLAND DHIDI YA TIMU AMBAZO ZINAWEZA KUPANGWA NAZO KATIKA 16 BORA YA CHAMPIONS LEAGUE. UNGEPENDA TIMU YAKO IPANGWE NA NANI? TOA MAONI…..* *ARSENAL* Real Madrid PSG Bayern Munich Atletico Madrid Barcelona *CHELSEA* Bayer Leverkusen Galatsaray Olympiakos Zenit St Petersburg AC Milan *MANCHESTER CITY* Real Madrid PSG Dortmund Atletico Madrid Barcelona *MANCHESTER UNITED* Galatasaray Olympiakos Schalke Zenit St Petersburg AC Milan

VIDEO: NEYMAR APIGA HAT TRICK YA KWANZA BARCA NDANI YA DAKIKA 13 - WAKIIUA CELTIC 6-1

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
All Goals - Barcelona 6-1 Celtic - 11-12-2013... *by video4all*

DAVID MOYES ASAFIRI MPAKA JIJINI MADRID KUMUANGALIA KIUNGO KOKE - ATLETICO MADRID WATAJA BEI YA KUMUUZA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*David Moyes alionekana kwenye dimba la Vicente Calderon kwenye mchezo wa Atletico Madrid dhidi ya Porto usiku wa jana.Kocha huyo wa Manchester United anategemewa kufanya usajili wakati dirisha la usajili mwezi ujao litakapofunguliwa baada ya kuwa na mwanzo mbovu. * *Huku Atletico nao wakiwa wamefuzu wakiwa hajafungwa na wakiongoza kundi lao, Moyes inawezekana* * hakuwa uwanjani pale kuangalia timu ambayo anaweza kukutana nayo raundi inayofuatia, kiungo wa klabu ya Atletico Koke anatajwa kuwepo kwenye rada ya Man United na usiku wa jana ilifahamika wazi kwamba kiungo huyo ana ... more »

MATOKEO YA CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL APIGWA 2-0, CHELSEA ASHINDA, BARCA YAUA NEYMAR AKING'ARA VILIVYO

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 11 hours ago
*Chelsea 1-0 Steaua BucurestiSchalke 2-0 Basel Napoli 2-0 ArsenalMarseille 1-2 Borussia DortmundBarcelona 6-1 CelticAC Milan 0-0 Ajax Atletico Madrid 2-0 PortoAustria Wien 4-1 Zenit PetersburgTIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORAWalioshika nafasi ya kwanza kwenye makundi: MAN UTD, Real Madrid, PSG, Bayern Munich, CHELSEA, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona. Washindi wa pili: Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiakos, MAN CITY, Schalke, ARSENAL, Zenit, AC Milan.*

HIGUAIN: SIKUWAHI KUZUNGUMZA NA KLABU YA ARSENAL KUHUSU KUNISAJILI

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
*Kikosi cha Arsene Wenger kinacheza na Napoli usiku huu katika mechi ya kuamua msimamo wa mwisho wa kundi F katika michuano ya Champions League.Na japokuwa Wenger alijaribu kumsajili Higuain Arsenal, mshambuliaji huyu wa kiargentina anasisitiza hakuwahi kuzungumza na klabu hiyo ya kaskazini mwa London."Ndio," Higuain alijibu alipoulizwa na gazeti la Times, kama kulikuwa na uwezekano wa kuhamia Arsenal katika kipindi cha kiangazi kilichopita."Lakini sikuwahi kuzungumza nao. Kulikuwa na mazungumzo baina ya Real Madrid na Arsenal, lakini ilikuwa ni Napoli ambao walikuja na... more »

JUVENTUS YAAGA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
Juventus ya Italia imetolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa katika ngazi ya vilabu barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0,bao hilo pekee limewekwa kambani na kiungo raia wa Uholanzi Wesley Sneijder. Mchezo huo ilibidi ufanyike tena hii leo baada ya jana kusimamishwa kutokana na hali ya hewa.

RONALDO AWEKA REKODI YA MABAO UEFA CHAMPIONS LEAGUE!

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 14 hours ago
MshambuliajiCristiano Ronaldo usiku wa jana alifunga bao moja wakati timu yake ya Real Madrid ilipopata ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya FC Copenhagen.Bao hilo alilofunga Ronaldo lilikuwa la 9 na lilimwezesha kuweka rekodi mpya ya mabao kwenye michuano hiyo ya Uefa Champions League kwenye hatua ya makundi. Ronaldo pia kwenye mchezo huo alikosa mkwaju wa penati.

Unicef:'Ni kosa watoto hawaandikishwi'

BBCSwahili.com | Habari - 18 hours ago
Shirika la Unicef, limesema kuwa takriban watoto milioni laki mbili na thelathini hawajawahi kuandikishwa tangu wazaliwe duniani.

Moyes :'Man U wako imara'

BBCSwahili.com | Habari - 20 hours ago
David Moyes, amesema klabu hiyo ni miongoni mwa vilabu 5 bora vinavyoweza kushinda kombe la klabu bingwa Ulaya lakini kinahitaji kujiboresha mwanzo

MAKALA: KILIMANJARO STARS HAINA CHA KUJIVUNIA KUTOKA CECAFA CHALLENGE CUP

Shadaka at Shaffih Dauda in Sports. - 20 hours ago
*Na Baraka Mbolembole* * Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ' kilimanjaro stars', ilipoteza mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Mataifa ya ukanda wa Africa Mashariki na Kati ( Cecafa Challenge Cup) na timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars katika uwanja wa Nyayo, jijini Nairobi. Stars ilicheza kandanda safi kwa muda mwingi wa kipindi cha pili, na kuwaweka wenyeji katika wakati mgumu. Kenya, wakicheza kwa tahadhari kubwa hasa baada ya kupata bao la kuongoza katika dakika ya tano ya mchezo, walitumia mbinu ya kupiga mashuti ya mbali baada ya ukuta wa Stars kuonekana kuwa mgum... more »

Nyumba ya Askofu Tutu yavamiwa

BBCSwahili.com | Habari - 20 hours ago
Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu.

India yapinga wapenzi wa jinsia moja

BBCSwahili.com | Habari - 21 hours ago
Mahakama ya juu kabisa nchini India imepinga uhusiano wa wapenzi wa jinsia moja.

Katumbi na matarajio ya TP Mazembe

BBCSwahili.com | Habari - 23 hours ago
Mmiliki na mwenyekiti wa timu ya soka ya TP Mazembe kutoka Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo Moise Katumbi amesema ana mpango wa kuiimairisha timu hiyo.

Miaka 50 ya Kenya kujitawala

BBCSwahili.com | Habari - 23 hours ago
Timothy Njoya ni mmoja wa waliohusika na harakati za kutafuta katiba mpya

Wapiganaji 19 wa LRA wajisalimisha

Jeshi la Uganda linadai kuwa limewakamata waasi 19 wa LRA na kumuua kamanda mmoja kwa jina Kanali Samuel Kangul.

No comments:

Post a Comment