Thursday, December 12, 2013

Nelson 'Madiba' Mandela 1913-2013

Imebadilishwa: 12 Disemba, 2013 - Saa 10:17 GMT
Waombolezaji nchini Afrika Kusini wanaingia siku ya pili katika zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Hayati Nelson Mandela.
Mwili wa hayati Nelson Mandela umewekwa katika jengo la Union ambako aliapishwa wakati aliingia mamlakani mwaka 1994 ambapo wageni wanaendelea kutoa heshma za mwisho.
Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu katika siku iliyokuwa ya ibada maalum kwa Mandela

MAKALA MAALUM

Makala

Teknolojia Wiki Hii

Sema Kenya

Umasikini ndani ya utajiri Kiambu

No comments:

Post a Comment