Ndoto ya Afrika yatua Kenya
BBCSwahili.com | Habari - 1 hour ago
Katika makala ya ndoto ya Afrika, tumemtembelea kituo cha matibabu ya macho kuwapa watu uwezo wa kuona tena nchini Kenya
LIVE MATCH CENTRE: AZAM 3 - 0 JKT RUVU - SIMBA 1 - 0 PRISONS
Kutoka Mbeya - Sokoine - Kipindi kinaanza na Simba wanaendelea kuongoza 1 -
0
Dk 67 Azam inafanya mabadiliko, ametoka Kipre Tchetche ameingia Seif
Abdallah. JKT 0-3 AZAM.
Dk 60 JKT inafanya mabadiliko, wametoka Kisimba Luambano na Mussa Mgosi,
wameingia Hussein Dumba na William Sylevester.
Dk 54 Kipa wa JKT, Shaaban Dihile anaumia baada ya kuokoa mpira wa shuti
kali lililopigwa na Mcha. Mpira unasimama kwa muda ili Dihile atibiwe.
Dk 51 JKT wanacharuka na kupanga mashambulizi lakini safu ya ulinzi ya Azam
inaonekana kuwa makini na kuokoa hatari zote.
Kutoka Mbeya Soine Stadiu... more »
Mauaji ya Padri Zanzibar
BBCSwahili.com | Habari - 1 hour ago
Rais Jakaya Kikwete ameomba watu kuwa watulivu mpaka pale matokeo ya uchunguzi yatakapotangazwa.
Chai ilivyotelekezwa Sudan Kusini
BBCSwahili.com | Habari - 1 hour ago
Je nini kilitokea wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mashamba ya chai yatelekezwe?
Jaji mkuu Kenya adai kutishwa kisiasa
BBCSwahili.com | Habari - 3 hours ago
Ameelezea kutishwa na kundi haramu la Mungiki kuhusu uamuzi wa mahakama ikiwa Uhuru Kenyatta ataweza kugombea urais au la
Laurent Gbagbo afikishwa mahakamani ICC
BBCSwahili.com | Habari - 3 hours ago
Mahakama
hiyo inatarajiwa kuamua ikiwa ushahidi uliotolewa katika kesi yake ya
uhalifu dhidi ya binadamu unatosha kumfungulia kesi.
YANGA YAENDELEA KUIANDALIA MAUAJI AZAM FC HUKO MBEGANI BAGAMOYO
Wachezaji wa Young Africans wakiwa mazoezini (picha na
maktaba)
Kikosi cha Young Africans leo asubuhi kimeendelea na mazoezi katika uwanja
wa Mbegani nje kidogo ya mji wa Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya
mchezo wake dhidi ya timu ya Azam Fc siku ya jumamosi katika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam.
Young Africans ambayo imeweka kambi katika hoteli ya Kiromo - Bagamoyo
tangu jana mchana kujiandaa na mchezo huo, leo asubuhi imefanya mazoezi
chini ya kocha mkuu Brandts, kocha msaidizi Fred Felix 'Minziro' na kocha
wa makipa Razaki Siwa huku wachezaji wot... more »
Kibarua cha mawakili kupata dhamana kwa Pistorius
BBCSwahili.com | Habari - 5 hours ago
Shahidi katika kesi ya dhamana ya Pistorius ameelezea kusikia mayowe kabla ya mauaji ya mchimba wake
Kanisa lateketezwa Zanzibar
BBCSwahili.com | Habari - 6 hours ago
Washabuliaji
waliiharibu kanisa hilo mwaka jana katika kile wengi walitaja kama
mgogoro wa umiliki wa ardhi ambako kanisa hilo lilikuwa limejengwa
Waziri mkuu wa Tunisia ajiuzulu
BBCSwahili.com | Habari - 7 hours ago
Waziri mkuu wa Tunisia Hamadi Jebali, amejiuzulu baada ya kukosa kuafikia makubaliano kuhusu serikali mpya.
LIBOLO YATUMIA ZAIDI YA TSH. MILIONI 180 KUIFUNGA SIMBA KWENYE MCHEZO MMOJA TU.
KLABU ya soka ya CRD Libolo ya Angola imetumia zaidi ya Sh. 180 milioni
katika maandalizi yake ya mechi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi
Simba na kuweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0.
Katika kiasi hicho cha fedha za maandalizi, Libolo ikiwa chini ya afisa
mipango wake, Edson Naval iliweza kujilipia yenyewe kila kitu ilipokuwa
nchini.
Mtandao wa *shaffihdauda.com* ulizungumza na Kasim Malinda aliyekuwa
sambamba na maafisa wa Libolo waliotangulia nchini mwezi mmoja kabla ya
kuivaa Simba, ambaye anasema timu hiyo ilikuwa imejiandaa ipasavyo
kuhakikisha inashinda.
Katika mche... more »
Watalii 7 wametekwa nyara Cameroon
BBCSwahili.com | Habari - 22 hours ago
Rais
wa Ufaransa Francois Hollande anasema kuwa ni watu wa familia moja na
walitekwa na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Nigeria.
Afrika kwa picha
BBCSwahili.com | Habari - 22 hours ago
Kampeini dhidi ya dulma za jinsia Congo na mavuno tele Zambia
SIMBA KUVUNJA UTEJA KWA PRISONS KESHO SOKOINE?
BAADA ya sare mbili mfululizo, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom
(VPL), Simba kesho (Februari 20 mwaka huu) wanashuka Uwanja wa Kumbukumbu
ya Sokoine jijini Mbeya wakiwa wageni wa Tanzania Prisons.
Katika mechi zake mbili zilizopita, Simba iliondoka pointi mbili tu kati
ya sita ilizokuwa ikizipigania. Ilitoka sare na timu za JKT Ruvu kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na baadaye sare ya 1-1 ugenini dhidi ya
Oljoro JKT.
Hiyo itakuwa mechi ya nne kwa Mfaransa Patrick Liewig tangu aanze kuinoa
Simba huku akifanikiwa kuondoka na ushindi katika mechi moja dhidi ya
Afric... more »
OFFICIAL: FIFA YAUSIMAMISHA UCHAGUZI MKUU WA TFF
**
SHIRIKISHO la Kimaifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeahirisha uchaguzi wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na mkanganyiko
uliojitokeza katika mchakato wa uchaguzi huo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ofisi za TFF jijini Dar es
Salaam leo mchana (Februari 19 mwaka huu), Rais wa TFF, Leodegar Tenga
amesema FIFA imetuma barua ikiagiza mchakato wa uchaguzi usimame baada ya
kupata malalamiko.
Amesema kutokana na mkanganyiko huo, FIFA katika barua yake ya leo
(Februari 19 mwaka huu- *imeambatanishwa*) imeagiza mkutano wa uchaguzi wa
TFF ambao awali ul... more »
KWANINI NIZAR KHALFANI ANAIPENDA JEZI NAMBA 16? - SIRI YAFICHUKA
NIZAR Khalfan amekataa kufichua siri ya kuvaa jezi yenye namba 16 mgongoni
tangu akiwa na timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro 2005, lakini rafiki yake wa
karibu amefichua siri hiyo.
Kiungo huyo wa Yanga alisema jijini Dar es Salaam ametokea kupenda kuvaa
jezi yenye namba 16 mgongoni na hakuna lolote ambalo limejificha dhidi ya
namba hiyo.
"Nafikiri nimetokea tu kuipenda. Hakuna siri yoyote ambayo imejificha juu
ya namba 16 kwenye maisha yangu binafsi."
Lakini utafiti uliofanywa umebaini kuwa nyota huyo amekuwa akipendelea
kuvalia namba hiyo akiwa anamaanisha idadi ya mabao aliyoif... more »
EXCLUSIVE: SIMBA YAPEWA SIKU SABA KUMLIPA MILOVAN LA SIVYO.......
ALIYEKUWA kocha wa Simba, Milovan Cirkovic ameupa siku saba uongozi wa timu
hiyo kumlipa fedha zake Sh39mil, vinginevyo atapeleka malalamiko yake
Shirikisho la soka la Kimataifa (Fifa).
Mserbia huyo ambaye yupo jijini Dar es Salaam, tangu Jumatano iliyopita
amesema;
"Simba ni timu ambayo nimefanya nayo kazi kwa muda mrefu na pasipo matatizo
yoyote. Lakini kwa hali ambayo nimekumbana nayo kwa siku hizi mbili
(Jumamosi na Jumapili), nafikiri imenikatisha tamaa kabisa."
Kocha huyo aliyeipa Simba ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita alisema
amekuwa akiwapiga simu ya kiganjani vi... more »
DIRA YA HAMASA YA KANDANDA NCHINI
*Na Gwandumi Gwappo Atufwene Mwakatobe*
*(Mratibu wa Kujitolea wa Kuibua na Kufufua Vipaji – Mwakaleli, Busokelo)*
*Februari 2013*
*1. **Utangulizi*
Tukiwa katika mchakato wa kupata viongozi wapya wa Shirikisho la Kandanda
Tanzania (TFF) ambao awali ulipangwa kuhitimishwa Februari 24, 2013,
nimeona nichukue fursa hii kuainisha nini kifanyike na kubainisha masuala
ya msingi ya kuleta hamasa mpya ya kandanda nchini. Aidha, rais anayemaliza
mihula miwili ya jumla ya miaka nane Leodgar C. Tenga alisema tunaorodhesha
matatizo bila kuyapatia ufumbuzi na akasema ameacha utawal... more »
Pistorius alimuua mpenzi wake kimakosa
BBCSwahili.com | Habari - 1 day ago
Ameambia mahakama mjini Pretoria kuwa alimpiga risasi 3 mpenzi wake bafuni akidhani alikuwa mwizi aliyekuwa amevamia nyumba yake